Njia au utamnyoaje mtoto kwa mara ya kwanza toka kuzaliwa?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
hallow wadau

naomba kufaham mtoto anatakiwa kunyolewa baada ya mda gani na Kwa kutumia nini? naona ngozi yake laini sana
 
Waulize wazazi wako, mama, shangazi nk. Nnamini hata majirani zako wanaweza kuwa na msaada.
 
Return Of Undertaker mimi nilimwacha mpaka akafikisha mwaka mmoja ndo akaanza kunyoa na nilimnyoa na mashine (sio muoga).

Ila kama unaona kuna ulazima wa kumnyoa mapema kabla kichwa hakijakomaa tumia mkasi mdogo na uwe maalum kwake mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
hallow wadau

naomba kufaham mtoto anatakiwa kunyolewa baada ya mda gani na Kwa kutumia nini? naona ngozi yake laini sana
uislam unafundisha jinsi ya kumnyoa kupima nywele uzito kutoa sadaka yenye thamani ya dhahabu na kuchinja mbuzi Aqiqa tumia disposable shaving machine
 
Mie wa kwangu alinyolewa akiwa akiwa na wiki na wiki 3 ni bora amnyoe mtu mwenye uzoefu
 
hallow wadau

naomba kufaham mtoto anatakiwa kunyolewa baada ya mda gani na Kwa kutumia nini? naona ngozi yake laini sana

Zipo hair clippers za watoto mbona.

71-HrpW4OrL._SL1500_.jpg


[h=1]Philips Norelco CC5060 Kids Clipper[/h]

  • Ultra Quiet. Reassures and calms kids (and moms) during the haircut . No loud motors here.
  • Kid friendly designed hair clipper comb tips. Rounded tips protect skin and ensure a comfortable cutting experience.
  • More compact and lighter than average clippers. Made for women's hands and easier maneuvering around your child's head.
  • Easy maintenance to save you time. Self sharpening blades need no oil or other care.
  • All kinds of styles (buzzcut, long sports cut, the fade and curly hair)
 
Back
Top Bottom