LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,106
- 27,085
God forbid isije kutokeaNi mionzi fulani ya nishati kutoka nyota zinazopasuka supernovae inayoweza kuachia nishati kama inayoachiwa na jua ketu kwa miqka bilioni 10 katika s3kunde chache tu.
Fikiria mtu akusanye nguvu zote za jua za miaka bilioni kumi, halafu atengeneze bomu, ailenge dunia na kuilipua dunia kwa bomu hilo.
Ni kitu fulani kikitokea hata kujikinga ni vigumu. Ila uzuri mpaka sasa hatujaona gamma ray bursts kubwa zikitokea kwenye galaxy yetu au ya karibuna probability kutokea ni mara moja katika miaka milioni tano.
Death from the Skies via Gamma-ray Burst?
Gamma-ray bursts (GRBs) are powerful events in the universe. They are usually distant, but if GRB occurred close by, could it destroy life on Earth?www.thoughtco.com