Njia alizotumia Mchechu kuongoza NHC zilikuwa batili. Shirika lilitakiwa liwe limekufa mapema

View attachment 1242164

Source: http://www.nhc.co.tz/kit/NHC_FS_June_2017_Audited_min.pdf

Hiyo hapo financial statement yao ya mwisho online 2017 (kwa wanaobisha) audited na CAG hiyo hela ongeza na sifuri tatu mwishoni kila mwaka deni lilikuwa linakuwa tu.

Nehemia kaondoka kaliacha shirika lina madeni ya muda mrefu kiasi cha karibu shilling 1.5 trillion na bado alikuwa anataka serikari impe dhamana akope tena.

The guy was just useless
Una uhakika na usemacho? Au umeona numbers bila kuelewa maana ukakurupuka.
 
Naomba kujuzwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC kwa sasa ni nani? Na vipi utendaji wake akilinganishwa na huyo Mchechu??
Utawezaje kujua utendaji wake wakatiShirika lipo hoi, kwanzani kutangaza kuwa limefilisika alafu zitafutwe mbinu za kufufua, kama marekani walivyofanya kampuni kubwa ya magari ilipofirisika
 
Labda nikuulize,kiliacha shirika na deni ndo kuliendesha kwa hasara?I am so sorry for you na je wale wanaomtetea magufuli wanaomtetea na kumshangilia kwa kipi maana deni la taifa limesha triple kwa miaka minne tu
Mtu kajenga majengo ambayo mengi thamani yake ni juu ya market asking price of similar buildings. Tayari hapo inakwambia asilimia kubwa ya valuation ya nyumba alizojenga zinahitajika kufanyia devaluation hili ziuzike.

Hata yale majengo machache ambayo aliyojenga kwa thamani halisi aimed at high end akuangalia the stability of the economy and realistic potential segment size iwapo pesa ya wizi itazuiwa that will be a problem. Wenye akili waliliona hili tangu mwanzo and he was warned akiingia mtu wa kupambana ufisadi atakwama.

Mtu anajenga bila ya kuwa na cashflow nzuri au ata kujua hela zitatoka wapi za fund projects zake matokeo yake kaacha magofu kila kona.

Mtu anakopa kuinvest kwenye miradi mibovu isiyo na thamani halisi na kuwekeza kwenye maeneo yasiyo na mahitaji ya products zake.

Ni hivi kibiashara alikuwa ni mmbaya kwenye kufanya marketing audit, mmbovu kwenye kufanya accounting za management decisions, mmbovu kwenye business strategy na mmbovu kwenye financial accounting.

Na isingekuwa kakuta shirika lina cashcows linazowapa rent ata kama walikuwa awakusanyi vizuri, japo yeye aliboresha na kuongeza viwango vya juu. Hila sehemu kubwa pia ya hii income aliitumia kwenye kulipa madeni ya project zake mbovu swala ambalo lingekuwa ni shirika la private shareholders wasingekubali utoe funds sehemu moja upeleke nyingine na ndio maana ilichukua muda kumbaini kwamba anatengeneza hasara.

Kwa mtu yeyote mwenye uelewa mpana wa maswala ya business, economy and finance the guy was just useless and incompetent as a CEO the performance results of his tenure at NHC concludes so.
 
In this particular case, kaendesha kwa hasara pamoja na kwamba mahesabu yanaonyesha faida. Hio ni faida hewa tu. Gain on appraisal of assets inabidi ionyeshwe kwenye Equity na si kwenye income. (IAS 16:39). Sasa fanya adjustment hio uone kama kuna faida yeyote hapo.
IAS 16 inahusu vipi Investment Property? Unadhani unazijua sana IFRS kuliko watu wa CAG? Statements zipo clear zinaongelea kuhusu Investment Property (IAS 40) na sio PPE (IAS 16). And by the way hata iyo IAS 16:39 would have resulted kwenye same treatment. Principally double entry ya kuaccount for gain on revaluation ingekuwa na two way effects (one on incomes na ya pili kwenye respective asset)

Go and do your home work kuna vilaza watakuona mkali kumbe hakuna kitu.
 
Wana JF,

Watu wengi walikuwa wanamwona Mchechu kama ameweza sana kuliongoza shirika hili bila kujua kuwa limeendeshwa kwa hasara muda mrefu.

Mchechu alikopa sana mabenki kuwekeza kwenye sehemu ambazo hazina mvuto.
Mkuu... Hii habari bila ushahidi ni batili, na nitaifananisha na kumlazimisha mwanaume anyetuke bila sabuni
 
NHC ilikuwa hohehahe haina fedha za kujiendesha achilia mbali za kufanye investment,Sababu serikali ilikuwa inatoa ruzuku hadi inachoka.NHC ilkuwa ina assets ambacho ni mfu,hazizalishi ila zina value.Mchechu alichofanya ni kuingia ubia na pension funds /kukopa kwenye ma bank ili kupata fedha za kufanya investment mpya zitazoleta cash flow.Unakuta campuni ina assets zisizozalisha ipasavyo,No cash,unafanyaje?.The option ni kutumia izo assets kupata additional capital kufanya new investments.Ndicho alichokifanya Mchechu,Weka mambo ya kutumbuliwa pembeni maana ile ni politics huwezi itumia ku judge mambo ya kitaalamu.Just do this:Muondoe Mchechu kwenye equation,then uniambie kwa hali ile NHC ilikuwa nayo kipinda anaikuta,Je ingekuwa hivi ilivyo sasa au ingekuwa ishakufa kibudu?
Hakuna namna ya kumuondoa Mchechu kwenye equation, itakuwa incomplete set! huwezi kuizungumzia NHC bila kumtaja mchechu as long as aliwahi kukaa pale! lakini kwa maelezo yako ni kwamba NHC kabla ya Mchechu ilikuwa miflisi; enter Mchechu exit; NHC imekufa; kwa hiyo hakuna value addition aliyoongeza Mchechu save that aliweza kujinufaisha yeye na mtandao wake. period; politics or not!
 
IAS 16 inahusu vipi Investment Property? Unadhani unazijua sana IFRS kuliko watu wa CAG? Statements zipo clear zinaongelea kuhusu Investment Property (IAS 40) na sio PPE (IAS 16). And by the way hata iyo IAS 16:39 would have resulted kwenye same treatment. Principally double entry ya kuaccount for gain on revaluation ingekuwa na two way effects (one on incomes na ya pili kwenye respective asset)

Go and do your home work kuna vilaza watakuona mkali kumbe hakuna kitu.
If you go check their asset you will see those sums too.
 
Unatakiwa unielezee nimekurupuka vipi?
Amount kubwa hapo kuhusu 'madeni' waliyonayo ni issue ya differed tax liability of which basically sio deni ni suala la kubalance hesabu za masuala ya kodi zikae vizuri. Haimaanishi kwamba TRA wanawadai. The same goes for future obligations kama amounts za gratutity etc.

Hoja pekee iliyopo hapo ni suala la cash flow waliyonayo. Ukiangalia kwa juu juu ni problem lakini ukiexplore in details ni short term problem. In the longer term business ikipick developed investments zikiwa exposed to the market zitaleta pesa za kutosha. Na zipo faida nyinginezo tu wangeleta ikiwemo suala la impact investing.
 
That's why I said there was nothing wrong with the way books were presented kama jamaa alivyojaribu kumislead watu.
The issue is not with the accounting entries but rather calling the increase in asset as net profit and that is a distorting fact. Kwa sababu shirika alikutengeza kiasi hicho cha cash in profit ingekuwa nchi za wenzetu unakula fine kwa kuficha ukweli ni kiasi gani cha faida ulipata.
 
Amount kubwa hapo kuhusu 'madeni' waliyonayo ni issue ya differed tax liability of which basically sio deni ni suala la kubalance hesabu za masuala ya kodi zikae vizuri. Haimaanishi kwamba TRA wanawadai. The same goes for future obligations kama amounts za gratutity etc.

Hoja pekee iliyopo hapo ni suala la cash flow waliyonayo. Ukiangalia kwa juu juu ni problem lakini ukiexplore in details ni short term problem. In the longer term business ikipick developed investments zikiwa exposed to the market zitaleta pesa za kutosha. Na zipo faida nyinginezo tu wangeleta ikiwemo suala la impact investing.
Deni ni deni why would you put something as a long terms liability if you do not owe?

Any shareholders approved sums or any other gratuity if not paid will be listed in ‘current liabilities’ and not as a non current liability.
 
The issue is not with the accounting entries but rather calling the increase in asset as net profit and that is a distorting fact. Kwa sababu shirika alikutengeza kiasi hicho cha cash in profit ingekuwa nchi za wenzetu unakula fine kwa kuficha ukweli ni kiasi gani cha faida ulipata.

Kama mna personal issues na Nehemia it's ok. Lakini kama suala ni compliance to financial standards there is nothing wrong with financial statements zao.

Ukiwa kama mtu mwenye idea na financials lazima unajua kuwa much as depreciation is an expenditure without spending cash hivyo hivyo kuna incomes earned without receiving cash. Ndio maana nikasema hoja inaweza kuwa issue ya cashflow na sio suala la profit.

Every business does walichofanya NHC na ndio international practise ilivyo.
 
Usually depreciation of assets is not so much associated properties in many other business and it is common for values to increase it’s all right to state that if you are in the business of renting and selling properties. Na hakuna aliepinga hilo.

The issue ni ku declare that increase as part of your net profit. Kwenye international accounting unatakiwa ushuke mpaka kwenye earnings after tax hakuna kitu unatakiwa huu declare as net profit if its not cash made during that period.

It’s just common sense uwezi kuwa unadaiwa bank billioni 200, una faida ya billioni 400 na financial cost zako ni 15 billioni halafu usiwe na hela kwenye mzunguko hadi bank kukosa imani ya kukukopa kirahisi mpaka utake guarantee za serikari.

Ni kwamba investment zake zilikuwa azijilipi simple as that nothing personal mtu mwenyewe ata simjui nachokosoa ni strategy yake na vitu ambavyo wengine tulikuwa tuna predict it would come to this way back wakati kila mtu anamsifia anafanya miujiza for some the writing was on the wall.

You can’t jump into white shark infested waters and expect to come out unscathed and that’s if you are lucky to come out at all.
 
Toa numerical evidence to back up your arguments otherwise ni chuki, wivu na husda kama kawaida ya wananchi wengi wa nchi hii. Kumchukia aliyefanikiwa hakukufanyi ufanikiwe!
Mawazo haya ni mufilisi kabisa.Mnataka muwaibie,halafu kwa vipesa vya wizi mjenge majumba ya kifahari na mnunue magari ya kifahari halafu wawapende,that is impossible.Tafuteni utajiri wa halali kabisa usio na mizengwe muone kama watu watawachukia.Mnapata hela za aibu,halafu mnasema watu wanawachukia,ni haki yao kuwachukia.
 
Nimeona kuna mtu kaanzisha mada akidai NHC hawana hela, sasa badala wakabiliane na hilo tatizo naona wanataka kumchafua Msechu.

Kama angekuwa anaendesha shirika kwa hasara Mabank yangempaje mpaje hela? mbona hawaipi Tanesco hela?
Swali gumu! Jibu litategemea mkopaji ana uhusiano gani na wakazi wa mjengoni.
 
Kumbe na wewe ndio wale wale! there is always a story behind numbers; if the narrative does not make sense to you then for sure numbers will overwhelm you into idiocy!
Altenatively the numbers will clear the smog.
 
Wakati NHC inawekeza sana dsm hakuna aliyejua kuwa awamu ya 5 serikalia itahamia dodoma laiti ingejulikana NHC ingewekeza zaidi dodoma .Hayani matatizo ya kila rais kuja na utashi wake
Meaning NHC was shortsighted.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom