king kan
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,629
- 2,043
Una uhakika na usemacho? Au umeona numbers bila kuelewa maana ukakurupuka.View attachment 1242164
Source: http://www.nhc.co.tz/kit/NHC_FS_June_2017_Audited_min.pdf
Hiyo hapo financial statement yao ya mwisho online 2017 (kwa wanaobisha) audited na CAG hiyo hela ongeza na sifuri tatu mwishoni kila mwaka deni lilikuwa linakuwa tu.
Nehemia kaondoka kaliacha shirika lina madeni ya muda mrefu kiasi cha karibu shilling 1.5 trillion na bado alikuwa anataka serikari impe dhamana akope tena.
The guy was just useless