Njia 5 za kupambana na nguvu ya masikini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njia 5 za kupambana na nguvu ya masikini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 25, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,494
  Likes Received: 5,724
  Trophy Points: 280
  YAWEZEKANA TUKAKALISHWA KAMA MISUKULE KUNGNGANIA KUKIMBIZANA NA MAFISADI,..LEO HII NI VYEMA TUKAJUA NIN CHA KUFANYA TUWEZE KUTOKA KIHAALALI KWA NGUVU ZA MWENYEZI MUNGU
  UNAITAJI KUWA NA SLOGAN YA USHINDI',..MFANO CCM NGUVU MPYA KAZI MPYA HIZI NI SLOGANS WALIZOANZA NAZO HATA KABLA YA KUKAMAATA MADARAKA,...UKIWA UMEDHAMIRIA KUTOKA NA KACHANA NA NGUVU ZA MASIKINI UTAJI KUWA FISADI ILI UWE TAJIRI
  PENDA KUSOMA NENO A MUNGU HILI LITAKUSAIDIA SANA KUTOKA KATIKA UFUKARA...KUNA MAMBO MADOGO MADOGO YANWEZA KUWEKA UMASKINI MAISHA YAKO YOTE JAMBO LA KWANZA

  1)KUMCHA MUNGU
  UITAJI KUUWA WATU ILI UPATE UBUNGE;UITAJI KUTOA HELA UPATE UWAZIRI AMA UFANYEBIASHARA YA MAANA ;;KABLA YA YOTE JITAHIDI KUMJUA NA KUMTAFAKARI MUNGU;MWOMBE HEKIMA NA MAARIFA KATIKA MAISHA YAKO
  USIWE KATIKA WALE WANAOWEZWA NA SHETANI;;JUA KUNA WATU WAKO MAKANISANI WANASALI NA KUFUNGA LAKINI WAMEKETISHWA KWENYE KITI CHA SHETANI,UNAITAJI KUTOKA KWENYE KITI CHA SHETANI NA NDIO MAANA UTAKUTA WAZEE WA KANISA WANAHESHMA ZAO NA KUFANYA KILA KAZI ZA KANISA LAKIINI WANACHANGANYWA NA DHAMBI ZA UZINZI,ULEVI...USIPOKETISHWA KWENYE KILELE CHA UZIMA UTAFUNGA NA KUBAKI UMEFUNGA NJAA TU,UTAHUDHURIA KANISANI NA KUBAKI MSUKULE WA KANISA,..YER 1:12
  NASIKILIZA NENO NIPATE KULITIMIZA,TAAAJA SHIDA AKO AKUNA KINACHOSHINDIKANA

  ISAYA 58:6-12 KUFUNGA NI ZAIDI YA PRAYERS,MUNGU AANFURAHI UKIWWA UMEFUNGA KWA AJILI YAKE
  RUM 10 WANAJUHUDI KATIKAMUNGU LAKINI SI KTK MAARIFA MUNGU AKAUFUNGUE IN JESUS NAME  2)MOUTH-KINYWA
  Kinywa chaako chaweza kuwa laana ama baraka katika maisha yako
  RUM 4:16-17
  IBRAHIM ALITAJA UZAO AMBAO AKUWA NAO,UNAWEZA ONA NGUVU YA KINYWA ACHA KUKIRI NI NA SHIDA WACHA UTAKUWA NAZO MPAKA KABURINI
  UKISOMA MWANZO NZIMA UTAONA DUNIA,VITU MUNGU ALIUMBA KWA KUSEMA

  MWZ 1 :1-3 MUNGU AKASEMA N A IKAWA
  AYUBU 28:3
  BINADAMU HUKOMESHA GIZA LA MAGONJWA KWA KINYWA

  I KOR 15:33

  MAZUNGUMZO MABAYA HUARIBU TABIA NJEMA
  ISAYA 6
  LAZIMA IFIKE TUJUE NINI TUACHOTAKIWA KUONGEA,TUGEUZWE KINYWA CHETU.....

  YOH 1:1 NAE NENO AKAFANYIKA MWILI..TUSIKIRI UDHAIFU KUNA WAKATI MWINGINE SIE NDI CHANZO CHA MAATATIZO WAPO WANAOTAKA KWEDNA HARUSINI WANADAI MAOFISINI TUNAUMWA NDUGU TAKUJA KUUMWA NA USIPATE WA KUKUOMBEA KUWA MKWELI KINYWA CHA MUMBAVU HULETA MAPIGO

  3)ADVENTURE OF FAITH

  JAMANI MSIWE WAOGA KUNA WAKATI UWOGA UNAKARIBISHA UMASIKKINI UITAJI KUSUBIRI MZUNGU AJE KAZINI KWAKO NDIO UPATE OFA YA KWENDA KEMPNSI/MOVEN PICK..HIYO 10000 LIOPAATA NENDA PALE AGIZA ATA CHAI NA ANDAZI 2 CHENCHI INARUDI,...JIFUNZE KWENDA MBUGA ZA WANYAMA MPAKA UNAKUFA WAZUNGU WANATKA NA NDEGE WANAONA SIMBA WE UNANGANGANIA KULLALA KIPAWA...15,000 UNAONA WANYAMA WA AINA ZOOTE TUMIA MWII WAKO KWA MAFANIKIO

  MWZ 12:1-4 MUNGU AKAMWAMBIA IBRAHIMU TOKA KWENEY MAAKANGE YA BABAKO......
  inaendelea kesho
   
 2. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #2
  Jan 25, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Kwani wewe umeokoka?
   
Loading...