Njia 5 za kufahamu simu ya ki china hizi hapa.

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
[h=3][/h]

1. Betri inajaa baada ya dakika tatu ,


2. Ina TV, tochi, mswaki, kiberiti cha sigara,


3. Ndege ikipita, simu inaandika 1 MISSED CALL


4. Ukiwa karibu na jiko, inaandika CHARGER CONNECTED na


5. Ukipita karibu na mchina, inaonyesha NEW DEVICE FOUND....! Chezea mchina weye!Km kuna nyingne nambie mana mchna ana mambo meng...........-.!!!!!!!!! yako aina gani?

 
Ukiangalia picha za martial arts inaring shun shaa kibadach.
 
Wakati wa mafuriko unaweza kuitumia kama Boya la kuelea..(feature Mpya Typhoon Special)
 
Back
Top Bottom