Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Download torch browser for pc
Install, play youtube video. Wakativina play juu ya browservkuna mshale una cheza cheza click hapo fasta unashusha
Leta mrejesho
 
Hi,

Kwa yoyote anayefahamu jinsi ya kudownload youtube videos kwenye computer ukiachana na zile techs za kuedit link na zile za kucopy na paste links

Kuna techs moja nishawah kuitumia ambayo option ya "download video " huwa inakaa chini ya video yenyewe ukigusa tu video inashuka but nishasahau steps za kuifanya computer iweze kudownload youtube videos kirahisi hivi.

Kwa yeyote anayefahamu msaada plz
 
Download browser inaitwa Torch Browser ukiinstall fungua youtube.

Wakati youtube vixeo ina play pale juu kabisa kulia kuna arrow ina point down ya kudownload. Bofya hiyo haikataii

Progress ya download utaiona pale chini kushoto kwako kwenye browser.

Ikianza kudownload stop video inayo play.

Unaweza pia kwenda kwenye downloads menu ya torch ili ukiwa huko ufunge hii tab ya video unayodownload. Downloads zitaendelea tu ila zile ulizofungua zina close ili i save bando kwa ku close tab.

Kumbuka ita down load quality uliyoset.
Unaweza kudownload hata 10 vodeos mradi una bando mradi ufuate utaratibu huu.

HALAFU URUDI HAPA LETA MREJESHO. HII HAIGOMI HAMNA LINK ZA KUPASTE INA CLICK ONCE. KAMA UNATUMIA MITANDAO OVYO KAMA TIGO UTALIA.

KWA KUDOWNLOAD HAKUNA KAMA HALOTEL.
 
Back
Top Bottom