Ghost Worker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 1,412
- 1,862
Tube mate is the best aisee. Ila huwa haipo Appstore fanya kuigoogle to (tafuta latest version).
MkuuKama upo YouTube unaangalia video na ukawa umeipenda, unataka kuipakuwa kwa komputa yako. Wakati video inacheza, pale kwenye address bar, neno youtube lianze na "ss".
Yaani badala ya www.youtube.com/........ isomeke "www.ssyoutube........"
Kisha itakupeleka kwenye page ya kupakuwa, kisha utachagua ubora uutakao.
Karibu mkuuMkuu
Nitaleta feedback,shukran
6. Keepdownloading. Ingia google search keepdownloading. Ikija click hapo itakuja page. Copy url ya youtube video kisha ipaste kwenye kibox kilichowazi. Click hapo watakuletea format tofauti tofauti za hiyo video. Chagua inayokufaa, download. AU km unavyofanya kweny save from net ya kuandika ''ss'' basi weka vd (ni shortcut ya keepdownloading). Hii njia kwangu ni bora na huwa natumiaNjia ya 5 ndio nzuri sana, na ndo naitumia
Pamoja.Hakuna asiependa kuhifadhi video kwenye simu yake ili aweze kuangalia badae akiwa nje ya mtandao,lakini nawezaje kuhifadhi video za YouTube kwenye kifaa changu?
NJIA 5 RAHISI ZA KUPAKUA VIDEO YOUTUBE
1.TUBEMATE:- Hii ndio njia maarufu na kongwe katika mambo ya kupakua video YouTube,njii ilianza kufanya kazi toka 2011 katika toleo la Android 2.2,wakati huo soko maarufu ukiachana na Android market ilikuwa ni GetJar.
Ukiwasha tu app ya tubemate na moja kwa moja itakuelekeza kwenye YouTube.
2.SNAPTUBE:- Hii sio YouTube bali hata kwenye mitandao mingine kama Facebook,instagram na baadhi ya mitandao mingine ambayo sio maarufu sana. Hii ilipendwa kutokana na mjumuiko wa mitandao yote.
3.VIDEODAR:- Hii haina umaarufu mkubwa sana,lakini inakuja kwa kasi kutokana na wepesi wake wa kupakua video,hii ni site nyingi kuliko zingine. YouTube, Facebook, Twitter insatgram,vimeo soundclouds na mingine mingi tu
4.UC BROWSER:- licha ya kupakua video tu, ni kivinjari kizuri sana kwa matumizi ya aina zote, hii licha ya kupakua video YouTube hata nyimbo za kusikiliza mtandaoni(online)ukiwa na uc inakupa chaguzi ya kupakua au kusikiliza huko huko.
5.SAVE.NET:- Hii nzuri kwa wasiopenda kijaza simu zao mambo mengi, yan hii sio app, ni njia rahisi sana ya kupakua video YouTube kwa kunguza ile url na kuongeza ss.
Iko hivi tumia Kivinjari chochote kwenye simu yako kwenda YouTube, tafuta video unayotaka ukishaiona hariri ile link juu(mfano ipo hivi
Wewe ipunguze iwe hivi [ssyoutube.com/watch?v=HXh1PzYEYNM] piga Go hapo utaona video yako inaanza kujipakua
Kama kuna swali karibu kuuliza.
Nimekuwekea hii video kama kuna njia iliyokushida.
Ngoja nijaribu hii inaonekana nzuri sana6. Keepdownloading. Ingia google search keepdownloading. Ikija click hapo itakuja page. Copy url ya youtube video kisha ipaste kwenye kibox kilichowazi. Click hapo watakuletea format tofauti tofauti za hiyo video. Chagua inayokufaa, download. AU km unavyofanya kweny save from net ya kuandika ''ss'' basi weka vd (ni shortcut ya keepdownloading). Hii njia kwangu ni bora na huwa natumia