Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Wakuu

Japo ni out of topic,please kama kuna mtu anajua vitu gan huhitajika katika kutafsiri movie

Mfano hawa djs wanaoingiza swahili kwenye movie

Swali langu ni devices i must posses to run it
 
Njia ya 5 ndio nzuri sana, na ndo naitumia
6. Keepdownloading. Ingia google search keepdownloading. Ikija click hapo itakuja page. Copy url ya youtube video kisha ipaste kwenye kibox kilichowazi. Click hapo watakuletea format tofauti tofauti za hiyo video. Chagua inayokufaa, download. AU km unavyofanya kweny save from net ya kuandika ''ss'' basi weka vd (ni shortcut ya keepdownloading). Hii njia kwangu ni bora na huwa natumia
 
Hakuna asiependa kuhifadhi video kwenye simu yake ili aweze kuangalia badae akiwa nje ya mtandao,lakini nawezaje kuhifadhi video za YouTube kwenye kifaa changu?

NJIA 5 RAHISI ZA KUPAKUA VIDEO YOUTUBE

1.TUBEMATE:- Hii ndio njia maarufu na kongwe katika mambo ya kupakua video YouTube,njii ilianza kufanya kazi toka 2011 katika toleo la Android 2.2,wakati huo soko maarufu ukiachana na Android market ilikuwa ni GetJar.

Ukiwasha tu app ya tubemate na moja kwa moja itakuelekeza kwenye YouTube.

2.SNAPTUBE:- Hii sio YouTube bali hata kwenye mitandao mingine kama Facebook,instagram na baadhi ya mitandao mingine ambayo sio maarufu sana. Hii ilipendwa kutokana na mjumuiko wa mitandao yote.

3.VIDEODAR:- Hii haina umaarufu mkubwa sana,lakini inakuja kwa kasi kutokana na wepesi wake wa kupakua video,hii ni site nyingi kuliko zingine. YouTube, Facebook, Twitter insatgram,vimeo soundclouds na mingine mingi tu

4.UC BROWSER:- licha ya kupakua video tu, ni kivinjari kizuri sana kwa matumizi ya aina zote, hii licha ya kupakua video YouTube hata nyimbo za kusikiliza mtandaoni(online)ukiwa na uc inakupa chaguzi ya kupakua au kusikiliza huko huko.

5.SAVE.NET:- Hii nzuri kwa wasiopenda kijaza simu zao mambo mengi, yan hii sio app, ni njia rahisi sana ya kupakua video YouTube kwa kunguza ile url na kuongeza ss.

Iko hivi tumia Kivinjari chochote kwenye simu yako kwenda YouTube, tafuta video unayotaka ukishaiona hariri ile link juu(mfano ipo hivi

Wewe ipunguze iwe hivi [ssyoutube.com/watch?v=HXh1PzYEYNM] piga Go hapo utaona video yako inaanza kujipakua

Kama kuna swali karibu kuuliza.

Nimekuwekea hii video kama kuna njia iliyokushida.
Pamoja.
 
6. Keepdownloading. Ingia google search keepdownloading. Ikija click hapo itakuja page. Copy url ya youtube video kisha ipaste kwenye kibox kilichowazi. Click hapo watakuletea format tofauti tofauti za hiyo video. Chagua inayokufaa, download. AU km unavyofanya kweny save from net ya kuandika ''ss'' basi weka vd (ni shortcut ya keepdownloading). Hii njia kwangu ni bora na huwa natumia
Ngoja nijaribu hii inaonekana nzuri sana
 
Back
Top Bottom