28/03/2015
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 366
- 335
kama unatumia PC sio lazima uwe na software yoyote , ingia kwenye youtube then search video unayotaka > ifungue kisha sehemu ya kuandika address mfano address ya video yako ni hii https://ww w.you tube.com/watch?v=cuo0W0GIL_o basi unachopaswa kufanya futa https://ww w. badala yake andika ss kwahiyo isomeke hivi ssyoutube. com/watch?v=cuo0W0GIL_o kisha bonyeza Enter itakupeleka moja kwa moja sehemu ya kudownload ambapo utachaga Quality unayotaka