SoC01 Njia 3 'blogging' inanisaidia kupata kipato na inavyoweza kufanya hivyo kwako pia

Stories of Change - 2021 Competition

amai_martha

Member
Jul 27, 2021
8
25
Ulimwengu umebadilika, hatuwezi kukataa kuwa teknolojia imebadilisha maisha yetu. Siku hizi vitu ambavyo wazazi wetu hawakuwahi kuota kuwa vingekuwa vyanzo vya fedha, vimekuwa vyanzo vya kipato kwetu, na hali ilivyo ya ugumu wa ajira na huku wahitimu ni wengi, tumejikuta kuwa inatubidi tutafute njia nyingine za kibunifu za kujiajiri. Mimi ni mmoja wa watu ambao walikuwa wanaangalia njia nyingine ya kujiajiri kupitia teknolojia.

Kwa miaka mitatu sasa nimekuwa nafanya 'blogging' na 'vlogging', nina tovuti lakini pia ninaweka maudhui yangu YouTube, nilianza haya mambo wakati niko chuo, ambapo nakumbuka Jumamosi moja nikiwa nimechoka na sina kitu cha kufanya nikaamua kuanzisha tovuti na kuweka maudhui ya mambo ninayojifunza kwenye maisha ambayo naona vijana wengine wanaweza wakawa wanapitia au wanajisikia, na hapo ndipo safari yangu ilipoanzia na kwa YouTube huwa naweka maudhui yanayohusu maisha ya chuo ili kuwasaidia wanaoenda chuo au waliopo vyuoni kukabiliana na changamoto yoyote ile lakini pia huwa nawapa ushauri na dondoo zinazowarahisishia maisha ya chuo.

Toka nianze 'blogging', nimepata faida nyingi sana, sio tu za kifedha ila pia za kimahusiano. Nimeweza kupata marafiki wapya ndani na nje ya nchi, nimeweza kuongelea mada mbalimbali kwenye tovuti yangu, mada ambazo zilinisogea karibu na vijana wengine wanaopitia mambo kama hayo jambo ambalo limenifanya nijisikie kama nina kusudi na msaada kwenye maisha ya mtu mwingine kwa vile ninavyoweza kuwatia moyo na wanavyoweza kunishirikisha vitu vya ndani sana, lakini pia kwa kuongelea mada hizo kwenye tovuti yangu ilikuwa ni kama kutoa donge moyoni ambapo ni jambo linaloniletea uponyaji wa moyo na kuachilia mambo maana kukaa na vitu moyoni na kwenye mawazo kwa muda mrefu si vizuri kwa afya ya akili, nimepata mpenzi kupitia tovuti yangu na jambo la mwisho ambalo ni muhimu kwa stori hii ni kuwa nimepata fedha.

Na hizi ndio njia 3 ambazo 'blogging' imenisaidia kupata pesa;

1. Ninatumia ujuzi wangu wa 'blogging' kuonyesha kuwa ninaweza uandishi, na hilo limenisaidia kupata kazi kwenye kampuni kadhaa za 'digital marketing' nchini. Niliajiriwa kwao kwenye kazi za uandishi na utengenezaji maudhui ya mtandao na ukweli ni kuwa walikuwa wanaangalia tovuti yangu kama sehemu ya ujuzi wa kazi niliyokuwa nimeomba.

2. Ninapata kipato kwa kufanya 'freelance writing na editing' ndani na nje ya Tanzania. Nimekuwa 'editor' na mwandishi wa makala za tovuti, ripoti, CV, maudhui ya mtandao nk kwa watu binafsi na makampuni ambayo yana uhitaji wa huduma hizo.

3. Ninatengenezea watu matangazo na kadi mtandaoni. Nakumbuka nilipokuwa chuo marafiki zangu walikuwa wananitumia kuwaandikia ujumbe mfupi wa mapenzi wapenzi wao kwenye sikukuu ya wapendanao, na hapo ndipo nilipogundua kuwa nina uwezo wa kuandaa maneno matamu yenye kukonga nyoyo, na hivyo kutokana na hilo nikaamua kuwa natengeneza kadi, iwe ya sikukuu ya kuzaliwa, ya wapendanao au 'business card' ambayo naiandika kiasi kwamba yule mtu anaona yale maneno ni yake tu na anauona upendo kupitia maneno yale.

Najua mambo mengine niliyoyasema nayafanya kupitia 'blogging' ni mambo ambayo yanachukua muda, lakini haimaanishi wewe umechelewa. Ninaamini hata ukianza leo unaweza kupata mafanikio yako kwenye 'blogging' na 'vlogging' kama lilivyo fungu lako kwenye maisha. Muda huu ambao vitu vingi vinaenda kidijitali zaidi, naona fursa nyingi zipo viganjani mwetu lakini pia tunaweza kuzitengeneza kwa kudandia treni hili la teknolojia.

Kama nimekushawishi kufanya 'blogging' ila unasita kwasababu ya vifaa nikuambie tu nilianza kwa simu janja yangu. Kama unatamani kuanza YouTube ila unawaza vifaa, anza na hicho ulichonacho. Kutengeneza maudhui na kujiweka mbele ya watu ni jambo linaloogopesha sana hivyo naelewa kama utakuwa unasitasita ila mimi nikushauri uanze na ulichonacho, lakini pia usisubiri muda mrefu sana kama umepata wazo la kitu cha kufanya maana ukikaa muda mrefu kuwaza sana unaweza kujikuta hauanzi.

Je nimekushawishi kufanya 'blogging' na YouTube? Kama nimekushawishi umepanga kuanza lini?

- M
 
Kwenye Faida hapo ujaandika kitu, "wakati Chuo marafiki zangu" bla bla! Nenda kutafute Ajira usingoje umri wa kuajiriwa upite uje utusumbue!
 
Tutumie link tujifunze vitu kwenye blogu yako
 
TAZAMA MADEM WA CHUO WAKITOMBWA LIVE HAPA !!!
USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI UPATE UTAMU ZAIDI.
 
I have no idea about it please tell me more even how to open such an account of blogging
 
Hii imekaa vizuri sana mkuu, hakuna kitu kizuri kama kushare ujuzi ulionao na watu wengine, sema hujaweka link ya content zako angalau tukupe support
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom