Njia 20 za Wizi wa Kura Barani Afrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njia 20 za Wizi wa Kura Barani Afrika

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutunga M, Oct 27, 2010.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Watu wengi hasa vyama vya Upinzani katika nchi zinazoendelea hawajui mbinu zinazotumiwa na Vyama vinavyokuwa madarakani katika kuiba kura.

  Humu JF kuna watu wengi wanaojua mbinu hizo.Ni bora
  (kwa wanaozijua) waziweke hapa ili kuvisaidia vyama vya upinzani kuzijua mapema ingawa baadhi ya mbinu hizo wamekwisha pigwa chenga

  1.Serikali kupunguza idadi ya watu wanaojiandisha katika daftari kwa kutotoa elimu ya mpiga kura(watu wengi hawajiandikishi katika daftari wanashka wakati wa kampeini)

  2.Vitisho wakati

  3.Kutumia watumishi wa serikali kubadilisha matokeo ya kura
  4.Kununua au kuwahonga mawakala wa vyama pinzani
  5.Kutumia chupa za chai kwa kuingiza kura katika themoth ili kuwapelekea wasimamizi
  6.

  nitaendelea baadaye au wengine wanawweza kuongeza
   
 2. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Viongozi wengi karibia wote wa UPINZANI walikua Chama Tawala hivyo basi kama kuna hiyo kitu watakua wanajua

  Mnatafuta tu kulia lia,,,, Msijali mtazoea,,,wenzenu (CUF) kule Zanzibar walikua hivyo hivyo ,,sasa hivi washazoea,,,,LAINIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

  kwahiyo ndio hivyo,,,mwanzo mgumu....te teh
   
Loading...