Njedengwa-MAIMU sababisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njedengwa-MAIMU sababisho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Oct 22, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  MAIMU ndo mwekezaji alie nunua Ardhi ya wana njedengwa,akawanunua na CDA,akawanunua POLICE na ZELOTHE wao,
  Akawapa vocha mkurugenzi wa Manispaa na RC wazime simu mpaka tukio hilo la kuwahamisha liishe.
  Magamba oyeee,
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Oyeeeeee
   
 3. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  puuuuummmmbbbbbbbbbaaaaaffffu
   
 4. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Maimu yupi??? Calvin wa Dodoma au???
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  inasikitisha sana..................nimeangalia news jioni hii kwakweli imeniskitisha.
   
 6. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Moja ya maeneo CCM walipojizolea kura za bwerere.wagogo mpo? Hebu wakabomoe unga limited na matejoo
   
 7. samito

  samito JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wee chezea ngalim, itakuwa kama ww2, hao wagogo si ndo kipenz cha magamba? nadhan wamejifunza.
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Who is MAIMU?wakaz hao walianza kuish lini?nilickia kuwa MAIMu amepewa eneo miaka hii ya 2000,lakini WANAKIJIJ WAMEFIKA LINI?
  CDA ni janga-dodoma
   
 9. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  kumbe hata RPC ZELOTHE eti HAJUI alikwa KUPOKEA KIBATARI chamwino ikulu so hana TAARIFA ZOZOTE.
  SOURCE-RADIO 5 asubhi hii
   
 10. j

  jigoku JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wananchi wengine wamelalamika wakidai hata ramani za kujenga walipewa na CDA,lakini kingine walikuwa wapi hadi nyumba zikajaa?kwani kungelikuwa na zuio la kujenga angali kuna nyumba mbli au tano si wangeweza kuokoa maafa haya?hizo nyumba hazikujengwa siku moja kama walivyozibomoa kwa siku moja,hivyo ni ukweli usiopingika kwamba ujenzi ungeliweza kuzuiliwa mapema.na hata hivyo iweje wawavizie alfajiri?wakti kuna uwezekano wa wengine kuwa bado wamelala?na je hakukuwa na njia mbadala ya kutumia zaidi ya kutumia risasi na mabomu,je hii ndo amani ya Tanzania chini ya chama cha CCM?
  Ila hawa nao wana dodoma wamevuna walichopanda maana ni wafuasi wazuri wa chama cha magamba.hili ni fundisho,na hapo watambue hayo ndo maisha bora waliyoahidiwa na hapo ndo kuna haki na usawa.
  SISIEMU SAFI SANAAA
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mwehu huyo,vijana wake wasingeonekana pale!
   
 12. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Huyo Maimu ni nani?. Kwanini awe na kiburi kiasi hicho?..
   
 13. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Hao wakazi walio wengi walikua wanamiliki viwanja vizuri venye hati na barua za offer sehemu nyingine.
  Baada ya kuuza bwelele na kunywea pombe hela walizopata, wakavamia maeneo ya watu wengine, hicho kipondo ni halali yao kukipata.
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  subiri mzee huenda 2tajibiwa
   
 15. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,612
  Trophy Points: 280
  Yes ni Calvin Maimu.
  Yeye ni mwekezaji mzawa, amepewa eneo hilo kihalali kwa ajili ya uwekezaji.
  Wakati alipopewa hakukuwa na wananchi ndani ya mipaka yake ila wananchi walishajitwalia maeneo ya jirani.
  Alipoanza kujenga ukuta kulizungushia eneo lake, ndipo wananchi jirani nao wakavamia kwa ujenzi.
  Zikufuatia danadana za mahakamani, mahakama ikimpa haki mmiliki, huku wakazi wakiweka zuio na kukata rufaa huku ujenzi ukiendelea na wananchi wengi zaidikujitokeza ili kuweka 'human shield'.
  Japo sijaona makaratasi, lakini naamini Maimu atakuwa ameshinda kesi, eviction order ikatolewa, demolition order pia ikatolewa na ndio maana vyombo vya dola vikatumika.
  Kwa wenye kumbukumbu, hii sio mara ya kwanza kwa ubomoaji wa aina hii, ulifanyika kwa Wakazi wa Loliondo na Waamasai wa Ngorongoro ambao wao walichomewa nyumba zao wengine wakiwa ndani. Uhamishaji wananchi kwa mtindo huu pia ulifanyika bonde la Yaeda Chini na kuwahamisha wananchi waliovamia msisitu wa Kazi Mzumbwi na hata wakazi wa eneo la Kipawa.

  Nasisitiza binafasi siungi mkono matumizi ya nguvu zilizipitiliza kiwango na umwagaji damu, iula lazima tufike mahali, Watanzania tuzingatie sheria, taratibu na kanuni.
   
 16. K

  Konya JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kama hivi ndivyo basi tijufunze...
   
 17. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Jiulize huo mfupa mh .lukuvi na Eng.Msekela uliwashinda wakati wa U-RC WAO,
  Alipofwata Dc wa bahi anaekaimu alisema hajui chochote mpaka afatilie.
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  maeneo yote unayoyataja hapa yanahusu watu maskin tu,hivi wenye pesa huwa c wavamizi?au kwakua po0r people cant aksec court?
   
 19. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Pesa ndo kila ki2.
   
 20. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kaka hujui mengi. MAIMU kondoo wa kafara.

  Jaribu kupitia hapa chini

  Mmiliki wa:
  Kenya lodge.
  Simba hotel
  Yard ya kilimo kwanza.{zote hizo za dom}
  Mmiliki ni AgreY mwanri.
  Sema kaweka vivuli vya watu wengine.

  Martin luther yajulikana ni ya kigogo gani.
  Na mlolongo wa staili hizo.
   
Loading...