Nje ya ukatibu wenezi wa ccm taifa, nape ni nani pia katika ccm?

CCM ni chama Imara , wakati tunapata uhuru tulikuwa na barabara ya lami moja, TAFADHALI USITUDHALILISHE KIASI HIKI WEWE UNAFIKIRI RASILIMALI TULIZONAZO SISI NI WATU WASIOTAKIWA KUWA NA MAENDELEO KAMA HAYA MARA DUFU? HELA ZINAZOLIWA NA MAFISADI UNAFIKIRI NI NDOGO? sasa kila mkoa unaunganishwa na lami, hata Chadema wakipata nchi hawatawapatia pesa mfukoni zaidi wataiba tu kama ambavyo Slaa kaanza kuchukua kwenye chama bila idhini na kujenga nyumba.. Je akikabithiwa nchi atabeba kila kitu.
Cha Msingi kupata viongozi wazalendo
OF COURSE YES! ila napenda kukuhahakishia tumechoka na ccm sio chama cha kutuongoza watu makini kama sisi
 
Back
Top Bottom