Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 43,967
- 104,341
Huo uthibitisho unakua umeombwa na nani?Kwahiyo huwezi kukithibitishia kinyago kwamba aliyekichonga yupo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo uthibitisho unakua umeombwa na nani?Kwahiyo huwezi kukithibitishia kinyago kwamba aliyekichonga yupo ?
😃😃Mkuu umefafanua vizuri, idea ya god ilikuja ili kuikabili hofu ya duniani ndio maana wafia dini wanaamini kuwa kuna nchi inaitwa mbinguni, huko hakuna kuugua, kufa, njaa n.k yaani huko ni full kula bata tu, huhitaji ajira wala kufanya biashara ili uishi huko vyakula vipo vya kutosha yaani kuna chipsi za kumwaga, nyama choma, piza baga n.k
Ndio maana unawaona wanapambana usiku na mchana kusali ili siku moja waingie kwenye hiyo nchi. Hata telebani nao wanapambana waingie huko lakini najiuliza hao majamaa ukiingia nao mbinguni itakuaje 😃😃😃
Mimi apa nakuomba wewe ukithibitishie kinyago kwamba aliyekichonga yupoHuo uthibitisho unakua umeombwa na nani?
Hicho kinyago kiko wapi nataka nikiulize maswali?Mimi apa nakuomba wewe ukithibitishie kinyago kwamba aliyekichonga yupo
Kwahiyo huwezi kukithibitishia kinyago kwamba aliyekichonga yupo, right ?Hicho kinyago kiko wapi nataka nikiulize maswali?
Old teleological argumentInaonekana ufahamu wako mdogo sana,,
Ngoja nigeuze swali kdg..
Utakithibitishiaje kinyago kwamba aliyekichonga yupo ?
Au wewe unaamini kuwa hakuna mchongaji wa vinyago.... Yaani vinyago vipo on their own ( havijachongwa) ?
Hujajibu swali,,Old teleological argument
Tunafahamu vinyago vina mchongaji kwa sababu tunashuhudia kila siku vinyago vikichongwa na mchongaji
Tuna weza extend huo mfano kwa kila Artefact (Kifaa chochote kilichoundwa na utashi wa binadamu)
Lakini mfano huo huo, tunapotaka kuu extend zaidi ya hapo, mpaka kwa natural objects kama wanyama, ubongo, macho, mfumo wa fahamu etc tuna commit False analogy fallacy
False analogy ni pale tunapotaka ku hitimisha kuwa, vitu viwili ambavyo vinafanana katika namna moja (namna A) basi pia vitakua vinafanana katika namna nyingine(namna B)
Mfano kwa kuwa kinyago, au ngoja twende na mfano unaoshawishi zaidi
Kwa kuwa camera na jicho la binadamu vyote vinaonyesha 'lengo' (purpose) kwa jinsi vinavyofanya kazi
(Ni kweli Camera na jicho vinafanana katika muktadha huu, they both show purposes in their inner workings )
Basi kama ilivyo kwa Camera, iliyoundwa na designers
Na jicho pia limeundwa na some designer
(Hapa ndio similarities kati ya Camera na jicho inapofikia tamati)
Si kweli kuwa Camera na jicho vinafanana pia katika muktadha huu
Tunajua jinsi camera zinavyoundwa lakini hatujawahi shuhudia yoyote yule akiunda jicho
Ushahidi upi basi umetumia ku hitimisha kuwa Camera na jicho vyote vinahitaji designers?
Ok, unaweza kupinga hoja yangu kwa kusema, kuna namna moja tu ya kupata kitu as complex as jicho
Namna hio ni through design, intelligent design
Lakini hapa pia utakua una commit fallacy ya False dichotomy
False dichotomy ni pale unapo limit possible options kwa ku present option au options zinazo support conclusion yako tu
Mfano wa false dichotomy
Kama hukubaliani na rais aliye madarakani basi huipendi nchi yako
Naweza nisikubaliane na rais aliyopo madarakani still nikawa mzalendo kwa nchi yangu
In the same way, tunaweza pata kitu complex kama Jicho na zaidi bila kupitia intelligent designing
Evolution ni second option uliyosahau na far superior kuliko intelligence design arguments
Kwa sababu ime base kwenye facts na sio Faith
Nilidhani na argue na mtu anayefahamu hoja anayojenga kumbe hakuna chochoteHujajibu swali,,
Unaweza kukithibitishia kinyago kwamba aliyekichonga yupo ? Utakithibitishiaje ?
Maswali kama haya ndo huwa yanawaumbua atheists,, wanajiona wajinga wao kutaka kuthibitishiwa uwepo wa Mungu ilhali wao wanashindwa kukithibitishia kinyago kwamba aliyekichonga yupo !!
Nimependa hii mkuu, uko vizuri.Old teleological argument

Amekufafanulia vizuri sana, kuhusu hiyo hoja yakoHujajibu swali,,
Unaweza kukithibitishia kinyago kwamba aliyekichonga yupo ? Utakithibitishiaje ?
Maswali kama haya ndo huwa yanawaumbua atheists,, wanajiona wajinga wao kutaka kuthibitishiwa uwepo wa Mungu ilhali wao wanashindwa kukithibitishia kinyago kwamba aliyekichonga yupo !!
Jamaa yuko fit vibaya sana.He is god.Nimependa hii mkuu, uko vizuri.
Sema aliyejibiwa kama vile kakimbia.Jamaa yuko fit vibaya sana.He is god.
Aliejibiwa ni debe tupu kichwani.Hawezi kujenga hoja na pia mtu akijenga hoja hawezi kuiona hoja iliyojengwa.Sema aliyejibiwa kama vile kakimbia.
Unajua haya mambo ukiona umeshindwa unakubali tu. Jamaa kajenga hoja vizuri na kitaalam sanaAliejibiwa ni debe tupu kichwani.Hawezi kujenga hoja na pia mtu akijenga hoja hawezi kuiona hoja iliyojengwa.
The same applies,,Nilidhani na argue na mtu anayefahamu hoja anayojenga kumbe hakuna chochote
Ukisoma hio comment yako hapo juu unaona ina maana yoyote ile?
Kuthibitisha kwa kinyago kuwa kuna mtu aliyekichonga ni sentensi yenye maana ipi?
Na ina lenga nini?
Mbona unaleta hoja ambazo hazina kichwa wala miguu
Unanipa sanamu, halafu unataka nilambie "umemuona huyu? ,ndio kakuchonga? "
Sanamu halina consciousness
Umenipa task isiyo na maana yoyote ambayo hata wewe huiwezi
Hoja yako imekosa maana, haieleweki inataka nini
Haina mahusiano yoyote na mada
Ni ya kijinga tu
Amefafanua wapi mkuu wakati ameikimbia hoja....Amekufafanulia vizuri sana, kuhusu hiyo hoja yako
Tatizo hujuwi tofauti ya neno Mungu na munguUnakubali kuniita mimi ni mungu lakini ajabu hunitolei sadaka, je hivi ndivyo ambavyo inatakiwa kum-treat mungu?
Kama mimi ni mungu na inawezekana kuthibitisha kua nipo, kwanini isiwe hivyo hivyo kwa hao miungu mingine ambayo mnaiabudu na kudai ipo?
Hiyo imani ya hakuna mungu ina hubiriwa na dini gani?