Mtumaini Mungu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 879
- 1,061
Mimi SIO MTU WA DINI...Kwanini umetumia bible sio qurani??
ukweli mchungu ni kwamba mwanadamu always anataka possesion na superior mkristu anajiona superior kulko yeyoye vivo hivo kwa dini zote
pengine huna hata sababu ya kuwa mkiristo zaidi ya kuwa na ndugu na jamaa hasa wazazi.
Dini msingi wake mkuu ni mind control kwamba ukifany mazur i na tukashindwa kuku award basi Mungu atakuaward ukifa.
Na ukifanya mabaya tukashindwa kukuadhibu basi Mungu atakuadhibu ukifa.
jaribu Kupitia gnostic gospel usome
NARUDIA TENA, WEWE NIFATILIE KWA UMAKINI MIMI SIO mfia dini... NATAMBUA WHY hizo dini zipo.
Mimi nipo duniani kwaajili ya KUMTUMIKIA Mungu, SIO KUTUMIKIA Dini...
Lile Kuki limekushinda, nikupe jingine???