Nje kuna fursa kuliko Bongo

Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,264
5,403
Habari zenu wanajamvi, Bila shaka mnaendelea na mapambano ya kulijenga taifa.

Wiki ijayo nitaleta uzi humu kuelezea fursa ziliko nje hasa hapa Geneva nilipo ambapo kwa Tanzania mazingira siyo rafiki ya kiutafutaji Kama huku.

Asikudanganye mtu baadhi ya nchi za ulaya Kuna fursa kubwa ya kutoboa maisha kuliko Bongo Kama utakuwa umeingia kihalali.

Naomba niishie hapo tukutane Alhamisi next week
 
Pamoja sana mkuu
 
Usisahau kuleta na:-
1. House rent prices compared to Tz
2. Usisahau na kodi ya Maputo/biashara ukilinganisha na Tz.
3. Kumbuka pia kutuambia prices za Bills za maji safi & taka pamoja na umeme ukilinganisha na huku kwetu Tz
4. Na mwisho kabisa naomba ukumbuke kutuambia kwamba kwanini wengi mliopo nje huwa hamfanyi maajabu huku Tz, zaidi ya kujenga nyumba za kawaida na kurudi na magari ya kutembelea pamoja na makontena yalio jaa house staff, ambavyo huwa mnaishia kuviuza pindi mnapo filia mkorejea Tz.....

Naomba kuwasilisha
 
Huyu mleta maada huenda hata kibanda hajajenga na huwa wajati mwingine wanaogopa kurudi huku.

Hawa wataishia kukusanya vimilioni viwili vitatu then wanakujua kutusumbua likizo huku baada ya miaka kadhaa.

Nisisahau kusema kuwa wengibwao huko wanaishi gheto. Chumba kimoja wako kama sita. Kazi kulala kwa zamu.

God save us
 
Hahahaha sawa ila kipengele namba 4 Sina uzoefu nacho but kiukweli ukipata nafasi ya kuja huku kihalali lazma utoboe, labda uendekeze starehe za kupindukia
 
Mkuu, mimi binafsi ni mfano wa haya uyasemayo.....
Kwa leo naomba niishie hapa kwanza
 
Mkuu tunafahamiana, labda nikupe short intro. Mimi Ni mhandisi na Nimefanya kazi serikalini kwa 5yrs yenye masharti ya kudumu na pensions mpka pale nilipoacha baada ya kupata nafasi ya kuja huku.
Mm nazani hupaswi kuongelea vitu usivyovijua kwenye maisha ya mtu
Huyu mleta maada huenda hata kibanda hajajenga na huwa wajati mwingine wanaogopa kurudi huku.

Hawa wataishia kukusanya vimilioni viwili vitatu then wanakujua kutusumbua likizo huku baada ya miaka kadhaa.

Nisisahau kusema kuwa wengibwao huko wanaishi gheto. Chumba kimoja wako kama sita. Kazi kulala kwa zamu.

God save us
 
Hahahaha sawa ila kipengele namba 4 Sina uzoefu nacho but kiukweli ukipata nafasi ya kuja huku kihalali lazma utoboe, labda uendekeze starehe za kupindukia
Mkuu, kama kipengele namba 4 umeshindwa kukijibu......
Basi naomba niseme tu kwamba, bado hauna uwezo wala exposure pamoja na experience ya kuishi nchi za huko penye mnapaita ulaya
 
Mkuu tunafahamiana, labda nikupe short intro. Mimi Ni mhandisi na Nimefanya kazi serikalini kwa 5yrs yenye masharti ya kudumu na pensions mpka pale nilipoacha baada ya kupata nafasi ya kuja huku.
Mm nazani hupaswi kuongelea vitu usivyovijua kwenye maisha ya mtu
Nyie tunawafahamu sana. Mnaishi maisha ya shida mkija huku hata ku survive hamuwezi maana mnakua mmeaminisha watu kuwa mko matawi ya juu kumbe wabeba boksi tu ulaya

God save us
 
Mkuu tunafahamiana, labda nikupe short intro. Mimi Ni mhandisi na Nimefanya kazi serikalini kwa 5yrs yenye masharti ya kudumu na pensions mpka pale nilipoacha baada ya kupata nafasi ya kuja huku.
Mm nazani hupaswi kuongelea vitu usivyovijua kwenye maisha ya mtu
Bahati njema nami ni mhandisi kama wewe. Na niliajiriwa hapa Tz kwa miaka zaidi ya 10, na pia nikapata bahati ya kupata ajira nje ya Tz. Na nimefanya kazi kwenye zaidi ya nchi 5 tofauti na Tz.
But leo nimerejea Tz na ninaishi kwa raha mustarehe, tena I'm doing better na hii biashara yangu ya kuuza matikiti hapa kitandani kwangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom