Njama za Polisi: Daktari MOI anatakiwa kutolewa kafara na serikali

[B
Je kuna sababu ya kushangilia uhuru wa Tanzania ?.
Kama zipo zitaje......
[1]

[2]

[3].[/B]

(1) Wakati wa ukoloni mababu zetu waliteswa na kuuawa na wazungu, lakini kwa kuwa tupo huru tunateswa na kuuawa na watanzania wenzetu.

(2) subiri nifikirie......

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Bw. KGB, tunakushukuru sana kwa info zako! Tafadhali endelea hivyo hivyo, inasaidia sana ku-preempt njama za uonezi!
 
Hili ni sakata la madaktari Serikali kupitia mashushu wake wanajitahidi kuuzima moto,vipi ktk uchaguzi mkuu 2015 nnadhani vifo vitakuwa ni vingi sana.
 
baada ya mpango wa kumuua dk ulimboka ku-back fire kuna jitihada nyingi zinafanyika kuona azma ile inakamilika.usiku wa tarehe 28 kuna watu walikweda muhimbili wakijifanya ni wagonjwa mahututi na wakataka kulazimisha kulazwa icu alikolazwa ulimboka. madaktari waliokuwa pale tulikuwa tumekwisha wapa taarifa juu ya mpango ule na hivyo baada ya kufika wale watu walikataliwa.na mgonjwa huyo alilazwa wodi ya kawaida na asubuhi yake waliompeleka walienda kumchukua tena akiwa anatembea. lengo la kutaka kulazwa moi tunalijua na tulilidhibiti.

mpaka sasa ni kikundi hicho( alibi network)ndio wako busy kuandaa taarifa yenye kupindisha uongo (false Alibi) juu ya tukio zima na wahusika wake na wakati huo huo mipango ya kuuaminisha umma wa watanzania uongo ikiendelea.mpaka sasa hakuna uchunguzi wowote unaofanyika juu ya tukio la kutekwa ulimboka. na ni kikundi hicho ndicho kinaeneza propaganda kuwa mgomo hakuna na huduma zimerejea..tunajua kazi bado ni kubwa mbele lakini tutafika
 
Hili ni sakata la madaktari Serikali kupitia mashushu wake wanajitahidi kuuzima moto,vipi ktk uchaguzi mkuu 2015 nnadhani vifo vitakuwa ni vingi sana.
Ukizimika this time it will resurface 2015 August.
Ni ahadi.
It is better uishe kwa pande mbili kushikana mikono.
 
i love my home msitu wa watu wa mahenge,kuanzia sasa akipotea mtu ni vyema kwenda kule kunako msitu kwanza kabla ya kwenda polisi
 
baada ya mpango wa kumuua dk ulimboka ku-back fire kuna jitihada nyingi zinafanyika kuona azma ile inakamilika.usiku wa tarehe 28 kuna watu walikweda muhimbili wakijifanya ni wagonjwa mahututi na wakataka kulazimisha kulazwa icu alikolazwa ulimboka. madaktari waliokuwa pale tulikuwa tumekwisha wapa taarifa juu ya mpango ule na hivyo baada ya kufika wale watu walikataliwa.na mgonjwa huyo alilazwa wodi ya kawaida na asubuhi yake waliompeleka walienda kumchukua tena akiwa anatembea. lengo la kutaka kulazwa moi tunalijua na tulilidhibiti.

mpaka sasa ni kikundi hicho( alibi network)ndio wako busy kuandaa taarifa yenye kupindisha uongo (false Alibi) juu ya tukio zima na wahusika wake na wakati huo huo mipango ya kuuaminisha umma wa watanzania uongo ikiendelea.mpaka sasa hakuna uchunguzi wowote unaofanyika juu ya tukio la kutekwa ulimboka. na ni kikundi hicho ndicho kinaeneza propaganda kuwa mgomo hakuna na huduma zimerejea..tunajua kazi bado ni kubwa mbele lakini tutafika
Uchunguzi unaendelea hali mkuu wa tume ya kuchunguza hii saga ambaye ni mtuhumiwa Msangi yuko mafichoni.
Waliokuwa na ulimboka wakati anatekwa hakuna aliyefanyiwa interrogation,
waliokuwa nae wakati anaaga kwenda kukutana na abedi hawajaulizwa chochote.
Abedi, mfanyakazi wa ikulu aliyemwita Ulimboka wakutane Leaders eneo la tukio simu zake hazipatikani tena huku zikiwamo taarifa kuwa keshasafirishwa sauzi immediately siku moja baada ya tukio.
 
Mtikila alishasema JK ni gaidi wakamkamata wakampeleka mahakamani, wakamwacha huru, mzee huyu anaushaidi wote jinsi JK na Mwema wanavyopanga kuiangamiza nchi hii kwa mbinu za kishetani kabisa, lakini Mungu ameamua kuwaumbua kabula plan yao haijafanikiwa. MUNGU IBARIKI TZ.
 
Inadhìhirisha wao wanahusika 100% na swala la ulimboka. Waandish wa habari mtafuteni huyo security mpate habari kamili muujuze uma ujue uovu wanaofanya usalama na polic dhid ya wananch
Kwa kuwasaidia, waandishi wa habari wamuone litvinenko aliyeleta hii habari.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna dawa zaidi ya kujiua.
Katavi

angalia nimeshika kisu, kuna mtu kanambia dawa ni kuua wanaonisababishia jazba,
miongoni mwao ni hawa wafuatao,
1, Katavi (kidding)
2, wanaokalia viti (serious)
3, wanaolindwa na viti, (serious)
4, taasisi DHAIFU. (serious)
 
Last edited by a moderator:
Juma Mgaza (correction).
Pili Ulimboka ni mzima.
Usalama wa taifa hawana jipya cha kupindisha kwa Juma Mgaza, simply alimsaidia mtu aliyeonekana na aliyemuambia kuwa kapigwa sana na kumpeleka kituo kidogo cha polisi

You do under rate thise people! What you think today they concidered it the day they were planing the issue!
 
Hivi Dr.Uli alilawitiwa kweli au ndio stori za mtaani tu. Na kama ni kweli kwanini wamlawiti wakati nia yao ilikua kumua, au hawa jamaa ni wapenda hayo mambo?
 
Back
Top Bottom