Njama za Polisi: Daktari MOI anatakiwa kutolewa kafara na serikali

sasa hapa "JK" amehusikaje?
Who ordered the kill of Ulimboka?
May be if that quetion is answered properly, (given it is 7th day since attempted murder of ulimboka no arrest so far),
JK cannot be involved.
 
Kwa Tanzania hii siwezi kubisha lazima kuna ukweli katika hili jambo ndo maana kuna watu wameanza kuharisha bila mpango ili kutetea uovu.Ila siku zinahesabika
 
Hii new generation ya jamiiforums inasikitisha na kuchekesha sana. Yaani mtu anakuja na riwaya isiyo na support yoyote ya evidence halafu watu wanaanza kuijadili!!! Mpaka mbunge wa nzega naye kwa kuwa yuko popularity hungry anaona hii thread inaweza kujadiliwa!!!interesting...

Wewe ndiye unayesikitisha na kuchekesha, JF always is the best than newspapers.

We do provide evidence if possible. na kila kinachosemwa hapa kina ukweli.

I like JF forever!!!!



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Inadhìhirisha wao wanahusika 100% na swala la ulimboka. Waandish wa habari mtafuteni huyo security mpate habari kamili muujuze uma ujue uovu wanaofanya usalama na polic dhid ya wananch
Wakuu tunzeni ushahidi siku si nyingi unaweza kutakiwa kwenye mahakama huru ya kuhukumu uozo huu wa Tanzania!!!!

 
hii habari kakupa nani... usalama wa taifa hawawezi waka mu approach mtu kienyeji hivo na hata huyo mtu kama likuwa approached si rahisi kutuoa taarifa hadharani SABABU atahofia maisha yake .. without any source hii habari yako ni garbage .. UONGO!.. PELEKA KWA SHIGONGO
Sikiliza daktari.
This is true, no speculation or story telling.
Ni kutoka directly kwa mhusika mwenyewe.
Hata wakati ulimboka alipokuwa bado yuko MOI watu wa usalama walikuchukua namba yake, and there was constant communication, and doctors know that.
Sema kwa sababu wewe uko America enjoying taxpayers monies ndo mana huna hata dalili ya uchungu na nchi yako Njiwa.
Why dont you come back and rescue the situation on the ground kama una uchungu na nchi hii?
 
Kwa sababu ndie aliyetoa assasination order,Kill him our president a satan

Froida, watu utadhani tumerogwa vile, yaani mazingira yote yanaonyesha muuaji ni nani, lakini bado tunazunguka msituni utadhani vipofu wanaohangaika kutafuta njia.

Guys, The killer is the Government inayoongozwa na JK. full stop
 
Kwa Tanzania hii siwezi kubisha lazima kuna ukweli katika hili jambo ndo maana kuna watu wameanza kuharisha bila mpango ili kutetea uovu.Ila siku zinahesabika
Executive director wa MOI tayari ameshaambiwa ana kwa ana na huyo mlinzi,
Kama una access na Prof. Museru unaweza kumuuliza kama tete-a-tete utapata confirmation.
You expect unajitambilisha kuwa mwandishi wa habari unaulizia ishu iyo labda uwe gamba ndo utakuwa na fikra hizo.
 
Mimi nina wasiwasi na mashaka pia na Abdallah Mgaza(?) yule jamaa aliyemuokota Dr. Ulimboka kwenye msitu wa Pande. Hivi wana habari wetu wako wapi? Kwanini hamjaenda kuchukua story ya Mgaza kabla hajawa infilitrated na hao wanaojiita USALAMA WA TAIFA possibly hata kumu assissnate, kwani Kova halali anajaribu kutengeneza movie ya kutuambia Watanzania. Kuandika story ya Mgaza mapema mtakuwa mmemponya na hao mafia wa CCM.

Please waandishi do the needful to help Tanzanians and Dr. Ulimboka as well!
 
"Bara la Afrika twalilia ukombozi; ukoloni mbaya na ubaguzi wa rangi; mataifa hayo ya Ulaya ndiyo Afrika kuivamia; mababu zetu zamani walikataa; ukoloni waliukataa; mabeberu walitesa. Ni vigumu kweli kusahau hayo waliyowatendea."

Huu wimbo unanikumbusha mbali sana kipindi bado mdogo redio Tanzania ilikuwa ndiyo redio pekee ikitawala anga la Tanzania hapakuwa na utitiri wa redio nyingine kama ilivyo leo.Ni redio iliyokuwa ikisisitiza uzalendo,upendo na amani.Bahati nzuri watawala wa wakati ule chini ya Mwl Nyerere waliweka maslahi ya Tanzania na wananchi wake mbele mafisadi walikuwepo lakini hawakutamba kama hali tunayoishuhudia leo,uongozi wa Mwl uliwashughulikia na sisi wananchi wa kawaida tulijua na tuliona leo hali imebadilika kabisa mafisadi wanatamba hakuna wa kuwagusa nchi imekuwa yao wengine hatuna chetu hatuoni faida ya kumwondoa mkoloni Mababu zetu walifanyakazi bure walimwondoa mkoloni leo mkoloni mweusi anatawala ana kula rushwa mchana kweupe tukipaza sauti zetu wanawatumia polisi kutunyanyasa,kutung'oa meno,kua hawataki tuseme wanataka tushangilie uovu wao.

Hakika mababu zetu walifanya kazi bure kumwondoa mkoloni mweupe,Mkoloni mweusi anashirikiana na mkoloni mweupe kutuibia rasilimali zetu.Tunahitaji ukombozi mwingine uhuru wa mwaka 1961 hauna maana sana ikiwa dhahabu,gasi,ardhi,mbuga za wanyama hazitusaidii waTanzania kuondokana na maradhi,umaskini,ujinga na ufisadi.

Je kuna sababu ya kushangilia uhuru wa Tanzania ?.
Kama zipo zitaje......
[1]

[2]

[3].
 
Mimi nina wasiwasi na mashaka pia na Abdallah Mgaza(?) yule jamaa aliyemuokota Dr. Ulimboka kwenye msitu wa Pande. Hivi wana habari wetu wako wapi? Kwanini hamjaenda kuchukua story ya Mgaza kabla hajawa infilitrated na hao wanaojiita USALAMA WA TAIFA possibly hata kumu assissnate, kwani Kova halali anajaribu kutengeneza movie ya kutuambia Watanzania. Kuandika story ya Mgaza mapema mtakuwa mmemponya na hao mafia wa CCM.

Please waandishi do the needful to help Tanzanians and Dr. Ulimboka as well!
Juma Mgaza (correction).
Pili Ulimboka ni mzima.
Usalama wa taifa hawana jipya cha kupindisha kwa Juma Mgaza, simply alimsaidia mtu aliyeonekana na aliyemuambia kuwa kapigwa sana na kumpeleka kituo kidogo cha polisi
 
"Bara la Afrika twalilia ukombozi; ukoloni mbaya na ubaguzi wa rangi; mataifa hayo ya Ulaya ndiyo Afrika kuivamia; mababu zetu zamani walikataa; ukoloni waliukataa; mabeberu walitesa. Ni vigumu kweli kusahau hayo waliyowatendea."

Umenitoa machozi what a message
 
Lakini damu ya ulimboka ita watesa sana- liwalo na liwe
 
Siku ya kufa Nyani, miti yote huteleza, kila deal wanalo panga linalipuliwa hapa jamvini, yaani nasikia raha haswa, Go Magamba to Hell, go, umetesa na kuua watanzania wengi sana!
 
Back
Top Bottom