Njama za kuikwamisha Serikali ya Magufuli zanaswa

basi kama haipo TISS ni kheri aifute sio vizuri kuchafua taasis nyeti ya serikali. usije ingia matatizoni bila sababu za msingi.
Mods wameshafanya marekebisho. Ahsante sana Jasnira kwa kupaza sauti mpaka umesikika
 
Mods wameshafanya marekebisho. Ahsante sana Jasnira kwa kupaza sauti mpaka umesikika
Asante.
nimepata wasiwasi asije kuingia matatani kwa upotoshaji. maana ikienda kwa wananchi madhara ni makubwa mno kuliko hata muandishi anavyodhania. modes wabarikiwe...
 
Sijawahi kuona serikali isiyojiamini km hii ya magufuli kila siku kujishitukia tu mara Mtuombee, mara kuna watu wanataka kutuhujumu, km mnatenda haki kwanini mjishitukie nyambavu
Siku zote wanaotenda haki ndio wanaohujumiwa. Hata Yesu alitundikwa msalabani si kwa makosa yake. Jamii ilitopea kwa maovu na ndo maana aliyeletwa kukemea maovu akaonekana ni kikwazo kwao. Kuna watu wa Luth hasa miji ya Sodoma na Gomora ambao nao walikuwa kama kizazi cha Yesu. Mtume Muhammad S.A.W naye alisakamwa sana na waovu mpaka akalazimika kuhama kutoka nyumbani kwake Makka na kwenda kuishi uhamishoni Madina. Hizo ndo hulka za binadamu
 
Hii siri kali inaanza kutafuta excusses! Eti ili wakishindwa kudeliver waseme tulihujumiwa. Hivi mnajua Ngosha ni dhaifu kuliko mkwere? Hana uwezo wa kuhimili kashkash. Ndio maana wanamshield kwa kila mbinu na wale wanaomkosoa. Sasa sijui kins Yakhe wakilianzisha na mahakama yao ya kadhi itakuwaje...
 
Sijawahi kuona serikali isiyojiamini km hii ya magufuli kila siku kujishitukia tu mara Mtuombee, mara kuna watu wanataka kutuhujumu, km mnatenda haki kwanini mjishitukie nyambavu
Mkuu, siku zote anayetenda haki hapendwi hata na wale anaowatendea haki. Kuna kitabu nilisoma kinaitwa "An Enemy of the People" na kingine "A man of the People", kama unaweza kitafute ukisome.
 
Q
Hii siri kali inaanza kutafuta excusses! Eti ili wakishindwa kudeliver waseme tulihujumiwa. Hivi mnajua Ngosha ni dhaifu kuliko mkwere? Hana uwezo wa kuhimili kashkash. Ndio maana wanamshield kwa kila mbinu na wale wanaomkosoa. Sasa sijui kins Yakhe wakilianzisha na mahakama yao ya kadhi itakuwaje...
Wewe unaota ndoto ya mchana. Utasubiri sana kuona serikali hii ikiyumba. Hii ndio aina ya serikali tuliyomuomba Mungu siku zote atuletee. Wewe na majipu wenzako mshindwe na mlegee!
 
Back
Top Bottom