SIJUI KAMA KUNA UKWELI WOWOTE WA TAARIFA HII NYETI. KAMA TAARIFA HII NI YA KWELI BASI HIYO NI HATARI KABISA NA INAONYESHA WAZI KWAMBA KUNABAADHI TA WATU HAWAKO TAYARI KUONA KEKI YA TAIFA INALIWA KWA KUSHIRIKIANA NA WANYONGE. NAMUOMBA MHESHIMIWA RAIS ASITISHIKE NA TAARIFA HII BALI AIFANYIE KAZI NA HATUA ZA HARAKA ZICHUKUE DHIDI YAO.
Sijawahi kuona serikali isiyojiamini km hii ya magufuli kila siku kujishitukia tu mara Mtuombee, mara kuna watu wanataka kutuhujumu, km mnatenda haki kwanini mjishitukie nyambavu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.