Njama uchaguzi wa Kinondoni , vituo kuongezwa kinyemela .

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,326
217,357
Wakati mawakala wakiapishwa bila kupatiwa fomu ya utambulisho , Mkurugenzi wa uchaguzi huo amesema hakuna sheria inayosema wakala apewe fomu hapohapo baada ya kiapo ! Atawapa lini ? hajasema !

Mkurugenzi huyo anayeitwa Aron Kagurumujuli akadokeza pia kwamba pamoja na vituo vilivyopo huenda vikaongezwa vingine .

Chanzo - Kigaila akiongea na Nipashe .

Swali - kama mawakala walioapa wanatosha vituo vilivyopo , hivyo vituo vipya mawakala watatoka wapi ?
 
Bashite hataki kuomba na hatapenda aombe msamaha kama yule wa Mbeya, hapo hata bundi watalia ili Mtulia ashinde.
 
Wanasheria saidieni hapa: " hivi msimamizi wa uchaguzi anaweza kuongeza vituo vya kupigia kura bila kuvishirikisha vyama vinavyoshiriki uchaguzi? "
Na kama ndivyo sheria ipi inamtaka afanye hivyo?
Je, mwenye mamlaka ya kisheria kuongeza au kupunguza vituo vy kupigia kura ni msimamizi au tume ya uchaguzi?
Je, inaruhusiwa viongezwe kabla ya siku ngapi kisheria ili kutokuwachanganya wapigakura?
 
Mlituaminisha changamoto zote zimetatuliwa na ndomaana mkarudi tena uwanjani kuicheza ngoma,leo imekuaje??

Tuliuliza je,hawa makada ambao ni wakurugenzi na wasimamizi wakuu wa hizi chaguzi mnnauhakika watajitenga na ukada wao na kutimiza wajibu??
Je,tume mliyodai si huru na haitendi haki,mnauhakika leo ipo huru na itatenda haki??
ndugu yangu Yericko Nyerere alikuja na nakala ndeeeefuuuu kujibu maswali haya,na kukashifu hata tuliokuwa tukihoji haya maswali,leo kiko wapi??
mbona mnarudi kulekule,kwenye malalamiko yasiyoisha??
 
chadema wakishinda kinondoni mkatambike. hiyo ngome muda wowote itavamiwa na mapolis...

Sitegemei CHADEMA washinde

Kweli kabisa

Tanzania's 'dictator' president threatening national unity: Catholic bishops | Africanews

Udikteta na hii ni safi zaidi..Wavamie tu

Muda wa CCM umeisha kabisa...Kama Walimpa huyu Dikteta kwamba ataifufua CCM basi ndio kaizika kabisa...Maana hata uchaguzi hawashindi,ni kuiba mchana kweupe. Waache waendelee kutumia polisi kabla ya 2020, ili Damu imwagike kabisa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tanzania's 'dictator' president threatening national unity: Catholic bishops

11/02 - 13:09

The Catholic Church of Tanzania denounced the violations of democratic principles and freedom of expression by the government of President John Magufuli, accusing him of endangering “national unity” in a pastoral letter published on Sunday.

“Political activities are prohibited by the instrumentalization of the police,” the letter by the Conference of Catholic Bishops of Tanzania read. The Church has been accused in recent months by the opposition of remaining silent in the face of “the dictatorial drift” of President Magufuli.

“The activities of political parties, such as public gatherings, demonstrations, marches, debates inside premises, which are the right of every citizen, are suspended until the next elections,” the bishops further bemoaned.

If we allow this climate to continue, let us not be surprised to find ourselves tomorrow in more serious conflicts that will destroy the foundations of peace and national unity.

Denouncing “violations of the Constitution and national laws”, the statement also stressed that “media are closed or temporarily suspended, thus restricting the right of citizens, to be informed, freedom of opinion and the right to privacy and expression”.

The clergy also noted that the current political atmosphere bred “division and hatred that could endanger peace, security and the lives of citizens.”

They also point to tensions that continue to mark by-elections at different levels. “These elections leave a feeling of anger, a thirst for revenge and a lack of interest in other elections,” they noted.

“If we allow this climate to continue, let us not be surprised to find ourselves tomorrow in more serious conflicts that will destroy the foundations of peace and national unity,” warned the bishops.

The Catholic Church was criticized for being silent after the alleged assassination attempt in September 2017 on Tanzanian MP Tundu Lissu, the opposition chief in parliament.

Lissu, who is also president of the Bar Association, is currently being hospitalized in Brussels after months of intensive care in Kenya.

Although the attack was carried out in broad daylight, in a residential area guarded by the police, no suspect has yet been arrested. The parliamentary party, Chadema, accuses the government of being behind the attack.

Nicknamed “Tingatinga” (Bulldozer in Swahili), President Magufuli has made an impression since taking office at the end of 2015, being unyielding in the fight against corruption.

But his unconventional and brutal style earned him the reputation of being autocratic and populist by his detractors, while freedom of expression is increasingly reduced in the country.

Opposition party meetings banned, newspapers closed, and journalists and artists beaten or threatened with death for criticizing government.
 
Kwa utaratibu huu, Chadema wajiandae kufungwa goli la mkono tu. Nchi imekuwa ya kishamba sana hii.
 
Kama Tume haitaki upinzani ni bora wakafuta tubaki na chama kimoja hizo fedha za uchaguzi zikajenge shule zichimbe visima vinunue dawa hospital etc
 
Back
Top Bottom