Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,377
- 217,440
Wakati mawakala wakiapishwa bila kupatiwa fomu ya utambulisho , Mkurugenzi wa uchaguzi huo amesema hakuna sheria inayosema wakala apewe fomu hapohapo baada ya kiapo ! Atawapa lini ? hajasema !
Mkurugenzi huyo anayeitwa Aron Kagurumujuli akadokeza pia kwamba pamoja na vituo vilivyopo huenda vikaongezwa vingine .
Chanzo - Kigaila akiongea na Nipashe .
Swali - kama mawakala walioapa wanatosha vituo vilivyopo , hivyo vituo vipya mawakala watatoka wapi ?