Njama uchaguzi wa Kinondoni , vituo kuongezwa kinyemela . | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njama uchaguzi wa Kinondoni , vituo kuongezwa kinyemela .

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Erythrocyte, Feb 12, 2018.

 1. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2018
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 45,500
  Likes Received: 27,023
  Trophy Points: 280
  Wakati mawakala wakiapishwa bila kupatiwa fomu ya utambulisho , Mkurugenzi wa uchaguzi huo amesema hakuna sheria inayosema wakala apewe fomu hapohapo baada ya kiapo ! Atawapa lini ? hajasema !

  Mkurugenzi huyo anayeitwa Aron Kagurumujuli akadokeza pia kwamba pamoja na vituo vilivyopo huenda vikaongezwa vingine .

  Chanzo - Kigaila akiongea na Nipashe .

  Swali - kama mawakala walioapa wanatosha vituo vilivyopo , hivyo vituo vipya mawakala watatoka wapi ?
   
 2. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #21
  Feb 13, 2018
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,716
  Likes Received: 1,056
  Trophy Points: 280
  Tumerudi ili kuona ni Kweli Madiwani na Wabunge kujiuzulu, Je Mnaungwa mkono na wananchi?

  Sasa picha limejionyeshe lenyewe...Polisi na NEC wanahaha kuliokoa Jinamizi CCM

  Kwendraa kule, Inzi wa kijani
   
 3. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #22
  Feb 13, 2018
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 45,500
  Likes Received: 27,023
  Trophy Points: 280
  Bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba
   
 4. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #23
  Feb 14, 2018
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 45,500
  Likes Received: 27,023
  Trophy Points: 280
  CCM hali mbaya Kinondoni .
   
Loading...