Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,668
- 40,914
Hizo zinaitwa technicalities ni mambo ya kawaida kabisa.Kukosea tarehe ndio itunyime kumpata Rais bora.. mbona watanzania tunakua wehu kiasi hiki.
Kama terehe imekosewa inarejebishwa na mambo yanaendelea.
Kama ni mdau wa mahakama wala hata hutashangazwa nayo.