Zanzibar 2020 Njama? Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif awekewa Pingamizi

Mbona hujaweka sababu ya pingamizi wakati ameisema wazi tarehe za kiapo ni za nyuma kabla ya kuanza zoezi? Watu wengine kama wewe hovyo kabisa.
Inaonaekana muapishaji,aliweka tarehe ya nyuma ili kumkwamisha Sharif
 
Kukosea tarehe ndio itunyime kumpata Rais bora.. mbona watanzania tunakua wehu kiasi hiki.

Kama terehe imekosewa inarejebishwa na mambo yanaendelea..

Kuna mamno serious ambayo kweli mtu hastahili kuwa Rais..

Kama makosa ya jinai etc

Hata deni la serena ni izushi mkubwa..
Kweli mtu anakosea hata kuandika tarehe tu
Je Mambo makubwa ya NCH ataweza
 
Chama Ni Cha Upinzani.....
Chama Kina Wanasheria Wengi...

Halafu Wanakosea Jambo La Tarehe?!!!

Nasubiri Utetezi Wao wa "kishawishi" otherwise Nitaendelea Kutowaamini Wengi Wa Wanasiasa Wa Upinzani....

😂😂😂Babu Seeeefuuu...
 
Maalim unawezaje kujiunga na shushushu?Zitto.... Kabwe kibaraka tu...Wanzanzibar mmeuzwa...
 
Hawa jamaa siyo wapinzani wa kweli. Wanatuchezea akili tu. Haya si makosa ya mtu mzima ambaye anagombea Urais wa nchi kufanya. Au wanambie Tume imefoji fomu ya Maalim.

Kama hawawezi kujaza hata fomu ya mtu mmoja - mgombea Urais basi hakuna namna. Wawatoe tu wakajifunze.
Pia Transparency naona imeandikwa Trasparency
 
Mkuu kutumia pen tense rangi tofauti si kosa. Nimeiangalia fomu yote sioni kosa lolote lile.

Viongozi wangu wa upinzani. Mkishajua kuwa mnatafutwa kwa udi na uvumba, punguzeni sababu za shetwani kuwavamia. Naona hata mwandiko wa mwapishwaji na mwapishaji uko sawa. Fomu imejazwa pote na mtu mmoja. Wino tu wa kalamu ndio umebadilishwa (mweusi na bluu). Maalim hawezi kujaza fomu mwenyewe ili kuepusha uwezekano wa "kuuzwa"?
 
Back
Top Bottom