Njaa zao ni kubwa na zimehamia vichwani

Alichokiandika yeriko kina mantiki kubwa sana katika jamii, tuache ushabiki wa vyama tusimamie hoja na ukweli,bunge kutorushwa live ni sawa?..unakubaliana na maamuzi ya bunge kutorushwa live?...je katiba inazungumza nini katika uhuru wa watu kupata habari?....mikutano ya kisiasa kuzuiwa ni sawa?...katiba inazungumziaje hili?...jibu hoja kwa hoja sio kwa maneno mepesi "useless scrap"...tueleze labda tunaweza kukuelewa, kwa mienendo hii ya kipuuzi puuzi ndio maana nchi ipo ilipofika na waliopewa madaraka wanakuwa kama "wamepigwa ganzi"..kwa sababu ya wanafki na wazandiki kama nyie..njaa hadi kichwani.
Aliyesimamia bunge lisirushwe live si ndo mnamuita shujaa siku hizi? Tatizo mnajichanganya na misimamo yenu wenyewe hamuelewekii mnaamini katika kipi
 
Kudanganya kwa manufaa ya nani? Kama ninadanganya sitakiwi kuwasema wengine waongo wakati mimi ni muongo. nadhani umenielewa mkuu. Nimekubaliana na kila kitu alichokisema Yericko lakini tatizo langu ni pale anapowasema watu wa kundi moja kuwaita njaa imepanda kichwani wakati na yeye ana act kama hao waliopandisha njaa kichwani na mifano tunayo kuhusu yeye. Alimkandia Lowasa mpaka mwezi june 2015 lakini kuanzia August 2015 akawa anasema mengine je hiyo U turn aliyoifanya ilitokana na nini? Je na yeye ni bado kijana wa upande ule wa CCM?

Nina matatizo na Lizabon katika u kada wake na CCM wa kukubali kila kitu lakini ninachompenda Lizabon hajabadili maoni yake kwa Lowasa tangu Lowasa akiwa CCM mpaka kahamia upinzani. Hivyo unacpotaka kuwasema watu angalia kwanza wewe mwenyewe ni msafi??? Yericko hana usafi wowote anachotakiwa kukifanya ni kutuonya tuache unafiki akianzia yeye mwenyewe.

Nashukuru sana kwa mawazo yako ninapenda watu kama ninyi ambao mnajadili bila kashfa.

Imekuwa ishu ya kudanganya tena na si maoni binafsi ya mleta mada ? Kwani unalazimishwa kukubaliana nayo mkubwa ?

Na Defenetely sina tatizo na maoni yako haya.

Lakini tatizo langu ni kila maoni ya mtu kama Yericko ama huyu umuitaye Lizaboni kuhusishwa na Lowassa......

Kwani mtu wa kujadiliwa humu ni Lowassa tu ? Na kuna tatizo gani kuwa na maoni haya leo kuhusu mtu ama jambo flani na kesho ukabadili mtazamo ama maoni yako juu ya jambo lile lile hasa ugunduapo kuwa ulichokuwa unaamini kuwa ndicho kumbe sicho ? Yericko ni wa kwanza kwani ? Au una ishu binafsi na huyu bwana ?

Na kiukweli, ndiyo mantiki ya hoja yangu ya hapo juu kwako, kuwa, wewe tangu kuzaliwa ulishafanikiwa kuwa consistent ktk misimamo na imani yako juu ya mambo mbalimbali uliyoyapitia ktk maisha yako ?

Kwani ulishamuuliza Yericko ni kwanini aligeuza msimamo wake juu ya huyu mtu aitwaye Lowassa ?

Kwa maoni yangu, ni wazi ana sababu zake ambazo si lazima ukubaliane nazo wewe kwa sbb na wewe una sbb zako ambazo si lazima Yericko akubaliane nazo vivyo hivyo kwa Lizaboni.....

Na kiuhalisia, huu ndiyo ubinadamu wetu, kwamba, we take everything in different perspectives kwa sbb sisi siyo robots ambazo zimesetiwa kufanya vitu ama mambo in uniformity !!!

Na labda nikuambie tu kuwa, hata mimi kabla niliaminishwa kuwa Edward Lowassa ni mwizi na fisadi mkubwa ktk nchi hii ambaye hakuna mfanowe....

Lakini baadaye nilikuja kugundua kuwa niliaminishwa na kuimbishwa wimbo wa kijinga usio na maana yeyote na pengine wa uongo.....

Na kuthibitisha hili huyu bwana alihama kutoka ktk CCM na kujiunga chama kingine. Na laiti kwamba, haya yaliyosemwa miaka mingi dhidi ya huyu, tuhuma ambazo zilielekezwaga kwa mtu huyu i. e Lowassa....

Nakuhakikishia zingekuwaga za kweli chini ya serikali hii ya visasi na yenye kupenda Sifa, hyakanani vile huyu jamaa siku nyingi angekuwa wa kwanza kushtakiwa kwenye île mahakama tunayoambiwa eti ni maalumu kwa wezi wale wakubwa wakubwa a. k. a mafisadi hata kama ni kwa kulazimisha tu !!!

Lakini wapi bwana, kumbe hii ni michezo ya kisiasa kutoka kwa mabingwa wa dirons wa fitina za kisiasa tu ambao wao wenyewe hawana usafi wowote ule...!!
 
na wewe ungesoma kwanza swali nililoulizwa kabla ya kuchukua muda wako mwingi kujibu swali ambalo halikua katika mada najua ungejua kwanini nimeandika kudanganya. Hakuna sehemu nilisema kadanganya nilichokijibu mimi ni swali nililoulizwa kama sijadanganya maisha yangu yote. Sasa kila sentensi ninayoisoma unajichanganya kwani huo ubinadanu anao Yericko tu kwanini humsemi na yeye asiwaite wenzake wana njaa iliyoingia kichwani???

Ndugu yangu hata kama Lowasa alikua fisadi ama la kama angebaki CCM wewe na huyo kada wako Yericko mngebaki mnamuita fisadi. Mara nyingi sana ni vigumu kuwapata watu wanaokubali makosa. Tumeona mashabiki wa Trump wanakanusha hata maneno tuliyoyasikia amesema sababu ya mapenzi.

Mimi siyo mnazi wa CCM wala CDM kama Yericko na wewe(nahisi kwa jinsi ulivyonijibu), kuna mambo mengi nimemuunga mkono yericko ambayo ameyaongelea kisomi, lakini mambo ambayo anayasema kinafiki siwezi kukaa kimya. Kama wewe umezoea unafiki wa leo kusema hivi na kesho kubadilisha basi Mungu akubaliki lakini mimi siwezi kukiita kikombe ni glass wakati kipo nyumbani kwako lakini kikija kwangu kikombe hicho hicho nikiite kikombe huo unaitwa unafiki. Na nimegundua na wewe ni kama hao wanasiasa maana umekalia upande moja kuwa walidanganya swali langu kwako nini kilikuaminisha umtukane Lowasa wakati ule kwa kumuita Fisadi na leo umuone siyo FISADI? Kama huna jibu, jibu limeandikwa hapo juu na Yericko unayemtetea ni kwamba njaa imekuingia kichwani unadhani LOWASA atakusaidia kukutoa katika njaa. Umelishwa maneno ya uongo na watu wale wale uliowaamini huko nyumakuwa LOWASA alikua FISADI lakini leo wanajitahidi kumsafisha bila kukupa sababu maalum kwanini wanamuona leo ni msafi kama si kumtumia kufikia malengo yao kisiasa.

Amka kijana una akili nzuri na uelewa mzuri huwezi kuleta maendeleo kwa kuwashikilia matapeli wa siasa kama kina Yericko. Yericko alikaa kimya wakati kijana mwenzao Zitto alipokua anakashifiwa na kuitwa Msaliti wakati kosa lake kubwa lilikua kudai uchaguzi ili kufuta cheo cha ufalme wa CHADEMA. Kwa akili yako huu unauita unafiki? madeikteta wengi duniani wanawaweka watu kama kina Zitto kizuizini kwa kosa la kutishia usalama wa nchi wakati siyo kweli bali usalama wao na ndilo liliwakuta kina zitto kabwe.
 
Mbase1970,

Twende tu mdogo mdogo, tutaelewana.

Na pale tunapotofautiana, basi tutofautiane kwa hoja na ndiyo hasa maana ya jukwaa hili..... jukwaa la majadiliano bila kutukanana.

Lakini nakuona kidogo unaanza kuwa furious na mimi, uvumilivu unaanza kukutupa mkono kidigodogo hata unaanza kuniita mimi CHADEMA ama sijui mfuasi wa Lowassa, something which is absolutely not at all.

Ukiiruhusu jazba zikutawale kwa sbb tu sikubaliani na wewe ktk baadhi ya hoja zako, hekima itakutoka na mwisho wa siku utaanza kurusha matusi na laiti tungekuwa tunaonana live kabisa, pengine ungeweza hata kurusha makonde wewe..ndiko unakoelekea.... !!

Back to the topic,

Mosi, nina uhakika kwa 100% kuwa ktk maisha yako ipo siku na nyakati flaniflani na ktk mambo flani flani ktk maisha yako umewahi kusema uongo kwa makusudi ama kwa kutojua ama kwa kupotoshwa tu whether you like it or not.......

Vivyo hivyo naamini kuwa, ktk kukosea kwako huko huweza kutambua kuwa ulikosea na kujirudi tena ama kurudi ktk mstari na maisha kuendelea....

Kama bado tu hukubaliani na hili basi nashawishika kuamini kuwa wewe si binadamu kama mimi, you are a different creature from a different planet!!

Pili, I still insist, kuwa acha kila mtu awe na opinions zake ktk jambo lolote so long as havunji sheria yoyote kama ambavyo wewe unaweza kuamua kuwa na upande kushoto, kulia ama katikati kama ambavyo unajinasibu kuwa wewe si CCM wala CHADEMA ama sijui UKAWA or whatsoever....

So be, ktk ishu sijui ya Zitto na usaliti ktk CHADEMA na msimamo wake huyu Yericko sijui wa kukaa kimya. Sasa Sina hakika sijui ulitaka aseme nini iwapo yeye mwenyewe aliamua kukaa kimya kwa sbb alichagua kufanya vile....

Tatu, kwanini unaniita mimi mnafiki ama sijui ninaunga mkono unafiki wa Yericko ? What is your problem exactly aah ?

Yericko, katoa maoni yake. Mimi nakubaliana naye (jambo ambalo ni haki yangu na unapaswa kuiheshimu) sawasawa tu na wewe unayepingana naye (jambo ambalo ni haki yako na naiheshimu). Lakini cha ajabu unataka niwe kama wewe, niamini unachoamini, nifikiri unavyofikiri ama niwe na uelekeo sawa na wako. Itawezekana vipi hili mkuu ??

Nne, trust me. Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa, simjui Yericko kama ambavyo sikujui wewe zaidi ya kukutana ktk jukwaa kama hili kwa mijadala kama huu...

Inatokea tu kwamba, kuna wakati tunajikuta tunakubaliana, na ikitokea hivi na (labda) kwa kuwa wewe unamjua ama mnajuana na Yericko kuwa ni mfuasi wa chama flani, basi unadhani na wanao support hoja zake basi ni wenzake, HAPANA unakosea.....

Kwa kesi ya Lowassa, narudia kusema ndivyo ninavyoamini mimi na kamwe si lazima uamini niaminivyo mimi. Na wewe kama unaamini ni fisadi na mwizi, amini hivyo..... you are not breaking any law....

Ndiyo maana nilikuambia toka awali kuwa sisi ni binadamu, and every human being is unique.... ukilielewa hili hutapata shida mzee wangu ktk maisha yako......!!

Ufalme wa kule CHADEMA !!??

Ooh, sijui lolote kuhusu hili na ingekuwa vyema sana ukajadiliana na Yericko mwenyewe kuhusu chama chake kama tu unamtambua ni mwanachama wa chama hicho.....
 
Ni ngumu sana kuendelea kama taifa, tukiendelea kuwa na vijana kama hawa. Muda wote huo unaokaa na kuandika hivyo viporojo, ungeutumia kwa ajili ya kujiendeleza kwa namna yoyote familia yako na taifa lingenufaika.
Werevu wanakuzarau sana na kwa sababu wajinga kwa inchi hii ni wengi utashangiliwa. Only 17% ya Watanzania wamepata angalau elimu ya form 4 akiwemo mfoji vyeti BASHITE that's makes easy kwa CCM kutawala.
 
Back
Top Bottom