Nizar Khalfan amwaga msaada IKULU

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,977
20,244
Kiungo nguli wa kibongo anae kanyaga ndimu pale canada Nizar Khalfan leo aliitembelea white house ya tz!<br />
Akiwa sambamba na wadhamini wake aliweza kumsalimia rais na kutoa msaada wa jezi ya timu anayoitumikia ya Vancuva White caps yenye namba 04 sambamba na jina la rais Kikwete!
 
Kiungo nguli wa kibongo anaekanga ndimu pa canada Nizar Khalfan leo aliitembelea white house ya tz!
Akiwa sambamba na wadhamini wake aliweza kumsalimia rais na kutoa msaada wa jezi ya timu anayoitumikia ya Vancuva White caps yenye namba 04 sambamba na jina la rais Kikwete!

Angalieni jamaa asizibanie maana ana uroho wa nguo kama nini. Chacha zile suti atatupa au atavaa?
 
Duh, hivi Raisi ana jezi ngapi mpaka sasa na mbona hazivai au uwa anampa Riz1?
 
Kiungo nguli wa kibongo anae kanyaga ndimu pale canada Nizar Khalfan leo aliitembelea white house ya tz!<br />
Akiwa sambamba na wadhamini wake aliweza kumsalimia rais na kutoa msaada wa jezi ya timu anayoitumikia ya Vancuva White caps yenye namba 04 sambamba na jina la rais Kikwete!
Hajampa na tende???
 
Kwa mara ya kwanza nakutamkia kwamba hizi ni pumba na hazina nafasi hapa JF. Jezi ndio kumwaga msaada!! ebu acheni upumbavu kama huna la kundika sio lazima uanzishe thread, soma za wenzako na uchangie, huu ni utoto unaotuletea hapa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom