Niwe mkweli sasa nataka mchumba hapa hapa JF awe na pass ya kusafiria

Hello habari zenu

Sitazunguka sana naenda moja kwa moja kwenye point

Kwa walio serious tu plz

Mi ni kijana wa miaka zaid ya 30
Ninaishi Netherlands muda huu
Nimetamani sana kuoa mtanzania lakin imekuwa ni ngumu kutokana na kwamba siishi huko, na mazingira ya ku interrupt yameishindikana,
Nina hitaji mke wa kuoa maana nikiyekuwa naye tumezinguana na nimeshapoteza muda wangu juu yake, na umri wangu nataka kuoa, I can't wait any more, natarajia kuoa mwakani mwezi wa 12,

Sifa na aina ya mwanamke nayemtaka
1.Awe Mkristo
2. Awe na umri 24+
3. Shule haina umuhim sana ila awe angalau amemaliza cheti na kuendelea
4. Awe natural niwaweke wazi sipendi wanawake wanaojichubua.chubua na kujifanya editing,

5. Hasiwe na mtoto kabisaa
6. Najua atakuwa na boyfriend lakin awe na uwezo wa kumsahau awapo na mimi,

7. Awe anaishi na ndugu zake , wanawake wengi wanaopanga wenyewe hasa maeneo ya sinza na kwingineko ni hatari mno, naongea kutokana na experience,

8. Awe na uwezo wa kuchanganua maisha na hali kulingana na muda,

9. Awe anatoka katika makabila yafuatayo
A.Muhaya
B. Msukuma
C. Mhangaza
D. Mnyarwanda

10. Awe na pass ya kusafiria au awe na vigezo vya kupata pass ya kusafiria,

11. Awe tiyari kupima afya na kizazi

12. Sitaki mfupi sana wala mwembamba mno au mnene sana yan awe saizi ya kati,

Mwonekano wake sample nazopenda


View attachment 754998 View attachment 754999 View attachment 755000 View attachment 755001 View attachment 755002
Ile ishu ya projects na kuwa na investors from abroad iliishia wapi mkuu?
Ulivyoanzisha ule uzi you really sounded serious,and i took it very seriously kumbe zilikua chai tuu!!
 
Back
Top Bottom