Niwe mkweli sasa nataka mchumba hapa hapa JF awe na pass ya kusafiria

AISEEEEE, HUYO JAMAA ANAONGEA UKWELY, MM NIKO APA NCHI FLANI PIA NIKO SINGLE, NAONA UGUMU WA KUISHI BILA YA MWANAMKE, NI NGUMU SANAA, WAZUNGU HAWANA ISPOKUA KUVUTA SIGARA NYINGI NA POMBE, YAANI UKO NDANI GENYE ZINAKUZIDI NA BARIDI aiseeeeeee, wadada changamkieni fursa hizo
 
Sijapenda sehemu moja tu. Ya ukabila. Basi ungeyaandikia hayo makabila tu maana wengine unawasumbua tu huu uzi hauwafai. Mfano wazaramo.
 
Mmh, wewe sifa zako za ndani/nje ni zipi,ili utushawishi"mm naweza kuwa na sifa zote, je wewe una sifa ninazoeitaka! tuma pc yako kwanza
 
Highlam ebu fanya tubaki wote bongo

Aje aseme
BeautyPlus_20180330170128_save.jpg
 
Mfano wa hao ulioweka kwa picha , nawaona wapo wengi sana huku Rwanda kwa mshauri wetu.

Wapo kibao mno
 
Wengi mnaoshindwa kupata wanawake huko Ughaibuni na kumamua kuja kubeba Bongo mnaishia kukimbiwa wakijanjaruka. Mtoto kama huyo uliemuweka hapo juu hajazoea shida,uhakikishe akija huko unamlea! Mambo ya wewe unaenda kubeba maboksi masaa 18 na huku unataka yeye akalee vibibi kwa masaa 12 atakimbia huyo.
 
Back
Top Bottom