Niwapongeze sana ITV hii application yenu ni msaada mkubwa!

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,671
40,913
Kwakweli hii mobile application yenu ni nzuri sana.

Kwa watu kama sisi tunaokesha mashambani kulima matikiti inatusaidia sana, ni swala la kuhakikisha tu chaji itakua full, lakini swala la kukosa news ya SAA mbili ndio hakuna tena!

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom