Niwapende CCM kwa lipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niwapende CCM kwa lipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ijuganyondo, Jan 15, 2011.

 1. I

  Ijuganyondo Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndg wanajf swali hili limekuwa likinitatiza,tangu nizaliwe damu yangu haipatani na hiki chama;ni wapende kwa lipi? 1.ni karibu nusu karne sasa lakin maisha ya mtz ni zaid ya duni,anaishi under 1USD per day,nyumba tangu babu hadi mjukuu ni makuti?umeme kwa watz ni ndoto,hatuna uhakika wa maji ktk nchi ya maziwa makuu!chama kinachokandamiza demokrasia,chama ambacho kikundi kidogo kinanufaika na rasilimali za watz na kuongoza nchi,chama ambacho kina viongozi"mahiri wa kuropoka" ili 2 kulinda maslahi ya chama!,chama ambacho kinakumbatia na kunadi mafisadi kwa nguvu na gharama yoyote!chama kinacho kandamiza upinzani hata kwa kuua(e.g z'bar,arusha) kuiba kura,kutoa madaraka kwa kujuana(undugulization),chama ambacho hakina huruma na kodi ya wananchi,chama chenye kuwalaghai wananchi kwa ahadi kemkem but utekelezaji Negative,chama chenye viongozi&watu wanafiki,madikteta,wachoyo,mafisadi,wasio hata na huruma? Niwapende kwa lipi? Naomb kutoa hoja
   
Loading...