Niwape pongezi washindi na wote walioshiriki shindano la Stories of Change

Theb

JF-Expert Member
Jan 25, 2019
3,929
7,268
Ndugu wana jamii forum. Leo niwape pongezi wale wote walioibuka washindi katika lile shindano la uandishi hapa jamii forum, na pongezi zingine pia kwa wale wote waliondika maandiko mbali.mbali yenye kuelezea changamoto, maoni, ubunifu, uongozi, nk.

1. Hongera kwako Abrianna jwa kuibuka mshindi kwenye shindano lile. Japo nimechelewa kuandika huu uzi ila nadhani hata sasa sio mbaya

2. Hongereni washindi wengine namba 2, 3 na wengine wooote.

Wa mwisho kabsa ni wale wote waliopiga kura zao kwenye nyuzi za washiriki nao tuwape hongera kwa kushiriki kwao katika upigaji kura na kutoa maoni yao kwenye machapisho yetu washiriki.

Nihitimishe kwa kuwapa hongera viongozi wa Jamii forum.kwa kuanzisha hili shindano ni mwanzo mzuri na liwe endelevu itasaidia watu kuibua mambo mbali mbali yanayotuzunguka kwenye jamii zetu yenye kuhitaji utatuzi .
 
napenda nami hapahapa bila kuweka uzi niweze kuwapongeza washindi wote walioshinda shindano lilipita na kuweza kuufungua ulimwengu hususani nchi yetu Tanzania katika kufunua yaliyofichika na kuweza kuonesha iili ijipambanue na kuchukua hatua zaidi.

Niwashukuru wote walioshiriki na kuwapa moyo kuwa wasonge mbele na kuipiga hatua zaidi katika yale wafanyayo wasikate tamaa kwani ni mwiko

Mwisho nasema kuwa muondoe HOFU na muanze kuthubutu kufanya au kutenda yale ambayo ulijiwekea kuyafanya iwe elimu, biashara, ukulima, ujasiriamali, kazi, siasa, na mengineyo yote ANZA KUCHUKUA HATUA NA KUTHUBUTU
 
Niwe mkweli tuu nilifuatwa pm na wote walioshiriki kwenye lile shindano ila kura yangu nilipiga moja tuu kwa mummie Abrianna ,nashukuru kura yangu haikuenda bure ila naamini wote mlioshiriki shindano ni washindi sababu machapisho yenu yametugusa kwa namna yeyote,kongolee kwenu
 
Ushiriki wako pia tunaupongeza na uwe kila.wakati wakileta hili shindano👍🏻🙏🏻🙏🏻
 
asante sana.bilashaka wote ni washindi kwa njia nyingine
Kabsa mkuu hatuwezi kushinda wote lazima wapatikane wale ambao watakidhi vigezo ukiwemo.wewe mkuu. Ingependeza huu uzi.mkaweka link zenu ili wadau wajue mliyoandika
 
napenda nami hapahapa bila kuweka uzi niweze kuwapongeza washindi wote walioshinda shindano lilipita na kuweza kuufungua ulimwengu hususani nchi yetu Tanzania katika kufunua yaliyofichika na kuweza kuonesha iili ijipambanue na kuchukua hatua zaidi.

Niwashukuru wote walioshiriki na kuwapa moyo kuwa wasonge mbele na kuipiga hatua zaidi katika yale wafanyayo wasikate tamaa kwani ni mwiko

Mwisho nasema kuwa muondoe HOFU na muanze kuthubutu kufanya au kutenda yale ambayo ulijiwekea kuyafanya iwe elimu, biashara, ukulima, ujasiriamali, kazi, siasa, na mengineyo yote ANZA KUCHUKUA HATUA NA KUTHUBUTU
Hakika mkuu. Ondoa hofu anza sasa inawezekana💪🏻💪🏻💪🏻🙏🏻👍🏻
 
Na uzi wetu km.vipi ulete hapa watu wauone
 
Ndugu wana jamii forum. Leo niwape pongezi wale wote walioibuka washindi katika lile shindano la uandishi hapa jamii forum, na pongezi zingine pia kwa wale wote waliondika maandiko mbali.mbali yenye kuelezea changamoto, maoni, ubunifu, uongozi, nk.

1. Hongera kwako Abrianna jwa kuibuka mshindi kwenye shindano lile. Japo nimechelewa kuandika huu uzi ila nadhani hata sasa sio mbaya

2. Hongereni washindi wengine namba 2, 3 na wengine wooote.

Wa mwisho kabsa ni wale wote waliopiga kura zao kwenye nyuzi za washiriki nao tuwape hongera kwa kushiriki kwao katika upigaji kura na kutoa maoni yao kwenye machapisho yetu washiriki.

Nihitimishe kwa kuwapa hongera viongozi wa Jamii forum.kwa kuanzisha hili shindano ni mwanzo mzuri na liwe endelevu itasaidia watu kuibua mambo mbali mbali yanayotuzunguka kwenye jamii zetu yenye kuhitaji utatuzi .
Hongera pia Mmbaga pamoja na washiriki wote, naamini kila mmoja ni mshindi na kwa pamoja maandiko yetu yatasomwa na vizazi vingi baada yetu.
 
Back
Top Bottom