Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,374
- 1,194
tatizo kubwa la nchi yetu ni kila mtu kutaka kuwa mwanasiasa uchwara, kama vile brazil kila mtu anajiona ni kocha wa mpira wa miguu.
kabla ya tuhuma chunguza kwanza ili usije onekana bwege mbele ya safari. wakati Kikwete anaingia madarakani nchi ilikumbwa na tatizo kubwa la umeme na sababu kubwa ilikuwa ni ukame ulioikumba nchi wakati ule. palikuwa na mgao mkubwa umeme tishio la nchi kuporomoka kiuchumi lilikuwa kubwa pia kwani hata shughuli za akina mama ntilie ziliyumba juice zao ziliharibika kila leo kwa sababu ya mgao. hapo ulihitajika umeme wa dharula ndio zikatafutwa kampuni zenye majenereta ya kufua umeme kwa dharula ndio hao sasa akina symbion,agreco, dowans n.k, na tujue si kikwete aliyeenda kubargain mikataba hiyo wapo wataalam tanesco na wizarani ndio walikubaliana na mikataba hiyo na wakimletea rais ataikataaje wakati yeye hajui chochote kwenye tasnia ya umeme??!!??, the same to magufuli kuna mistake kubwa alizifanya rais, ikumbuke kauli ya wasira alisema JPM wakati anaingia madarakani alitutangazia hatutakopa pesa kutoka nje ya nchi maana nchi yetu ni tajiri sana, lakini ndiye rais aliyekopa kuliko marais wote nchi hii tena baadhi ya nikopo ikiwa ni mibovu kabisa yenye riba kubwa maana ilikopwa kwenye mabenki ya kibiashara. lakini umeisika report ya CAG ilivyojaa madudu yaliyofanyika wakati wa utawala wa JPM, wajameni tusipende kuwa wazushi, tafakari kwanza