Nivyepesi kuharibu kuliko kutengeneza

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
25,991
56,158
Male_Lion_and_Cub_Chitwa_South_Africa_Luca_Galuzzi_2004.JPG
 
wakuu kikubwa nachotaka nieleweke hapa ni kuwa ule mlolongo mzima wa maisha yako mpaka hapo ulipo unaweza kuharibika kwa muda mchache sana tofauti na ule mda uliotumia kuyatengeneza hayo uliyo nayo..
nimetumia hiyo picha kwa kuonyesha hilo kwa maana hii.. huyo nyati alianza kiumbe mdogo sana mimba,ndama mpaka kuwa nyati mkubwa kabisa lkn pamoja na hayo yote amekuja kuharibika kwa muda mfupi sana compare na muda aliotungwa mpk kuwa mkubwa so we must be careful..
 
wakuu kikubwa nachotaka nieleweke
hapa ni kuwa ule mlolongo mzima wa
maisha yako mpaka hapo ulipo
unaweza kuharibika kwa muda
mchache sana tofauti na ule mda
uliotumia kuyatengeneza hayo uliyo nayo..
nimetumia hiyo picha kwa kuonyesha
hilo kwa maana hii.. huyo nyati alianza
kiumbe mdogo sana mimba,ndama
mpaka kuwa nyati mkubwa kabisa lkn
pamoja na hayo yote amekuja kuharibika kwa muda mfupi sana
compare na muda aliotungwa mpk
kuwa mkubwa so we must be careful..
Weka hasa kusudio la mada yako
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom