Nivue nguo nivue nguo unisachi,unataka kushika wapi sema ,au unataka kunisachi nini??nimeiba

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Unaweza fikira didi vipi anatakak umwaga radhi hapana jamani nimesikia uchungu hapa nasikia
clouds mama anne lea nkya anawaambia ma polisi niwavulie nguo nivue hamna adabu unanikamata
nimeiba unataka kunishika wapi nishike basi nishike una lanaa nyie mnaacha kukamata wezi mafisadi
umetumwa eeehhhhhhhhhhhh nivue sema nikuvulie uone ....polisi mmoja akamwambia mwenzake unasikia kabisa
akufai uko m wache aisee mwache kabisa......

Je tumefika hivyo hapo alikuwa muhimbili najiuliza tutafika kweli kwa style hiijamani..kama mnaweza kumzalilisha mama kama huyu

ndio maana mnalaaniwa mitototo yenuuuuuuuuuuu inaishiaaaaaa na ma div 4 ya kupewa mungu angewagonga 0 tu hamna adabu kabisa hii nchi
 
TAMWA ni machachari toka walipoanza. Walikuwa Bi Aloo, Laila, Marehemu Djamila(AIRE May Jah protect her),Plili matambalike na sasa hawa Wa akina Nkya. Walishinikiza serkali kuunda sheri kali kwa wabakaji, na wauwaji wa vi bii kizee huko Shinyanga. Sio wa kuchezea.

TGNP, TAMWA na HUMAN WRIGHT WATCH wanajuwa wanacho kifanya na huwa wanafanya kweli. Kwa nini nasi tusifanye kweli tunabakia kuloloma tu? Kwani hatujui haki zetu?
 
We didy ni kilaza,u don even knw hw 2 arrange ur points.

aarenji pwointi kwani alikuwa anajibu paper ya history? Ungemwambia Mwanaasha aarenji ingemsaidia....
Kama umeelewa sasa unashida gani....

Nivue, sema sasa, nivue uoneeee......hahahahahaaa!!! Chhezeya ananilea nkya wewe!!!
 
amenifurahisha pale alipomkomalia mwana usalama ..."mbona wezi hamuwakamati,mbona wezi hamuwakamati"...kweli nuru inaanza kuonekana tz japo kwa mbali.
 
Wright???
tamwa ni machachari toka walipoanza. Walikuwa bi aloo, laila, marehemu djamila(aire may jah protect her),plili matambalike na sasa hawa wa akina nkya. Walishinikiza serkali kuunda sheri kali kwa wabakaji, na wauwaji wa vi bii kizee huko shinyanga. Sio wa kuchezea.

Tgnp, tamwa na human wright watch wanajuwa wanacho kifanya na huwa wanafanya kweli. Kwa nini nasi tusifanye kweli tunabakia kuloloma tu? Kwani hatujui haki zetu?
 
kuna afisa mmoja kamwambia..mimi napiga kelele kuwatetea mama yako na baba yako.. Alafu unataka kunikamata..! Police akasema ata kama.
 
Polis vilaza tu. They are uniformed beggars. Ishu za msingi wameshindwa kuzishughulikia,wanatia aibu kwa kifupi. Hebu cheki mtu mzima anavyoondoka asubuhi kwenda kusubiri pesa za hongo ili kuendesha maisha yake! Wanatia aibu hawa jamaa ingawa wao 'hawanaga' aibu.
 
Hawa Wanaharakati ni mashujaa.

Laizma kwa mwenye akili timamu atawaunga mkono tu lakini kwa mavuvuzela lazima hapa watachonga sana juu ya hili!!!!!!!

POlisi wetu wanashindwa kuwakamata Wezi na Mafisadi leo wanajitia kihelehele kwa kuonyesha wanajua kazi.

Eti kamanda wao anasema "NA SISI POLISI TUMEFANYA KAZI YETU BAADA YA KUONA KUWA KUNA DALILI ZA UVUNJIFU WA AMANI"Hivi huyu kamanda anajua Uvunjifu wa Amani ???? au anaropoka tu!!!!!!!!!

Kuna amani gani Tanzania sasa hivi katika maisha kama haya, tunashuhudia Serikali ikifanya uovu na mauaji mbona Polisi hawakumkamata PM PINDA alipotoa kauli yake kuhusu madakitari atawaachisha kazi. Kauli ambayo kweli ilizidi kuharibu amani ya nchi.

Nchi yenye amani haiwezi kuwa na matukio ya mauaji ya kinyama kama tuliyoyashuhudia mahospitalini!!!!!

Nchi yenye amani kila mtu ukikutana naye anakusalimia kwa tabasamu na huku anapiga miruzi ya furaha. Sasa Tanzania kila mtu amenuna kwa hasira.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom