Nivitu gani ukimfanyia mpenzi wako akuachi mpaka kifo

Fanya haya mambo matatu
1. Mpe hela
2. Mpe Pesa
3. Nasema mpe hela

Asipokupenda wewe atapenda hela zako so hatakuacha (do at Your Own Risk)

Thank me later
 
Kwanini uogope kuachwa kwani umezaliwa naye?.Wanawake/wanaume wako wengi mno,akiondoka mmoja unatafuta mwengine maisha yanasogea.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom