nimeitupilia mbali makwapa yanawasha, harufu kalii sana na nywele zinanyonyoka hivi hizi fekero zimeingiajeeeeee?????
View attachment 127242hii ndo fekeroooView attachment 127241 hii ndo original yenyewe
Mwarobaini ndio mwisho wa matatizo ya kunuka kikwapa,unatwanga majani yake na kubandika kwapani.
siku hizo vitu vingi fake