Nivea deodorant imechakachuliwa hatarii cheki picha

delusions

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
5,003
1,278
nimeitupilia mbali makwapa yanawasha, harufu kalii sana na nywele zinanyonyoka hivi hizi fekero zimeingiajeeeeee?????

Morogoro-20131111-00217.jpg hii ndo fekerooo Morogoro-20131111-00216.jpg hii ndo original yenyewe
 
Achana na manivea hayo ukipaka soon baada ya kushave balaa jinsi kwapa zinavyouma but sisi wengine tulishahamia kwenye aloe deodorant ya forever living. Kitu kinasmell fresh japo bei kidogo ipo juu karibu mara nne ya nivea lakini inadumu na ni gentle kwa ngozi yako.
 
Mwarobaini ndio mwisho wa matatizo ya kunuka kikwapa,unatwanga majani yake na kubandika kwapani.
 
Wachina wamewazidi TFDA na TBS kete. Nimeona Nyinginge Zimeandikwa Germany nyingine Univerlla??;

Km Maziwa mgando nyingine Maziwa Fresh.

Mungu isaidie Tanzania
 
TFDA naamini wanafahamu hili ila wanasubiri madhara ndo wareact
 
Nimemuuliza muuzaji ananjibu eti toleo jipya!!! Nikamuuliza mbona hii c ya Germany akapiga kimyaa!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom