Niuzie biashara ya duka la vipodozi au duka la mahitaji ya nymbani

igihumbi

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
441
350
Habari za kutwa wana JF?

Nahitaji kununua biashara mojawapo kati ya hizo. Hiyo biashara inatakiwa iwa dar tu bei ni maelewano kutokana na duka lenyewe.

Kwa mawasiliano karibu PM

Asanteni sana
 
Back
Top Bottom