Kaundime2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 1,085
- 459
Mkuu angelita mwenye tatizo hapo utakuwa ni wewe. Kwanza huenda wewe mwenyewe huna ubavu wa kumuacha! Lkn nnachotaka kukushauri hapa,we endelea nae wala usiwe na hofu,we ukipata wa kukuoa na yeye mwambie umepata na hata baada ya ndoa mnaweza kuendelea tu.
Mapenzi hayana formula,ukiolewa hujui nini kitatokea kwa mumeo,hapa ndo kwenye faraja yako usithubutu kumwaga mtu ambae umemzoea! Mnaweza kupunguza tu muda wa kukutana lkn si kuachana!
khaaa!
ivi kweli kuchepuka kutaisha kweli looo