Nini asili ya jina Kilombero
Mkuu ninamiliki shamba la miwa. Idadi ya heka naomba nisiweke wazi. Ila kilimo cha miwa ni kilimo kinachoweza kukufanya usijute kuwa mkulima.Unamiliki shamba la miwa Hekta ngapi mkuu..?
Mpaka karne hii bado unawaza vya/cha bure? Pole mkuu.Vipi mnapewa sukari bure?
Sijafanya utafiti kuhusu biashara hiyo mkuu. Japo naona wapo masokoni.Nataka niuze dagaa nyama kilombero vipi soko lipo ?
Ile sehemu (Darajani) ni mpaka wa wilaya ya Kilombero na Kilosa. Kabla hujavuka Daraja unakuwa eneo linaitwa Ruaha, ukivuka Daraja ni Tarafa ya Mwanzo wilaya Kilombero, Tarafa Kidatu kijiji Mkamba. Hiyo ni kama unatoka Morogoro.Mkuu samahani, naomba hili jibu kwanza kabla ya mengine.
Ukiwa unaenda kilombero(Mimi niliishi ifakara) njiani kuna sehemu Ukipita tuu daraja flani kubwa unaacha rasmi lami unaingia barabara ya vumbi, ile sehemu inaitwaje na daraja nalo linaitwaje?
Yeyote anaweza kunijibu hili..
Nahitaji hili jibu serious.
Asante,Pale
Ile sehemu (Darajani) ni mpaka wa wilaya ya Kilombero na Kilosa. Kabla hujavuka Daraja unakuwa eneo linaitwa Ruaha, ukivuka Daraja ni Tarafa ya Mwanzo wilaya Kilombero, Tarafa Kidatu kijiji Mkamba. Hiyo ni kama unatoka Morogoro.
Kilombero ni wilaya inayozalisha zao la mpunga kwa wingi. Maeneo mengi yanafaa kwa kilimo hicho. Bei ya hekali kukodisha ama kununua inatofautia eneo mpaka eneo. Kukodi kwa msimu mmoja kwa kawaida inaanza 80 Elfu mpaka Laki na 20. Kutegemeana na eneo.Vipi kilimo cha mpunga huko?mashamba yanapatikana kirahisi? Heka moja ya majaruba sh ngapi kununua?tuanze na hayo kwanza
Asante,
Maliasili ni wapi? mkamba napo ni wapi?
Maana kuna mtu mwingine nilimuuliza katika kunielezea akataja hayo majina?
Alikosea au Ni maeneo karibu na pale?
Kununua kwa acre ni shillingi ngapi?Kilombero ni wilaya inayozalisha zao la mpunga kwa wingi. Maeneo mengi yanafaa kwa kilimo hicho. Bei ya hekali kukodisha ama kununua inatofautia eneo mpaka eneo. Kukodi kwa msimu mmoja kwa kawaida inaanza 80 Elfu mpaka Laki na 20. Kutegemeana na eneo.