Niulize Swali lolote kuhusu Mradi wa Mkuranga Project (TANESCO)

Tanesco muche kukata kata umeme hovyo..

Hasa tabia mliyoianza toka jumapili hii


Ni hilo tu

Bye
 
Nn kinachowafanya kwenda na wakati na kuona fursa nyingi za kuwekeza kwenye umeme kwann msipeleke umeme nchi nzima wakati mnapata mapato,mfano dangote anahitaji umeme ambapo mngekuwa shapu mngepata mapato mengi tu
 
Inakuwaje mtu anapoomba umeme akitaka kwa njia za panya anapewa ndani ya siku 30 lkn akifata haki atasubiri hata miezi 6 na ameshafanya malipo ,mnasema nguzo hamna ila kama ukitoa laki 7 utapata umeme ndani ya siku 30 hizo nguzo zinatoka wapi za kulipia laki 7 ufungiwe haraka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kabla hujajibu maswali yetu walau tupe in briefly juu ya hio project mana wengine ndio tunaiskikia kutoka kwako
 
REA inagusa maeneo yote au ñi baadhi ya mikoa,na je kuna uwezekano kijiji hichohicho kikawa na umeme wa REA na huu mwingine wakulipia pesa nyingi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom