Sally Salya
Member
- Feb 7, 2019
- 38
- 24
Ulichosema ni kweli maana hata huku mkoa nilipo kuna joto kupita kiasi. Hasa tabu ninayoipata katka sehem zangu za siri chanzo ni joto. Na gharama ya matibabu niliyo itumia na kubwa ila tatizo haliishi. Kila la kheri mkuu !Hama Sehemu za Joto Kali na Hamia Sehemu ya Baridi..
Mimi Nilikuwa na Tatizo Flani hivi la Muda mrefu na lilinicost hela nyingi tu hapo Dar, Lakini nilipohamia Katika Mkoa Flani hivi wenye mazingira ya Baridi muda wote basi nimejikutia nimepona hilo tatizo bila ya kutumia dawa yoyote