Niulize swali lolote kuhusu magonjwa ya zinaa

Hama Sehemu za Joto Kali na Hamia Sehemu ya Baridi..

Mimi Nilikuwa na Tatizo Flani hivi la Muda mrefu na lilinicost hela nyingi tu hapo Dar, Lakini nilipohamia Katika Mkoa Flani hivi wenye mazingira ya Baridi muda wote basi nimejikutia nimepona hilo tatizo bila ya kutumia dawa yoyote
Ulichosema ni kweli maana hata huku mkoa nilipo kuna joto kupita kiasi. Hasa tabu ninayoipata katka sehem zangu za siri chanzo ni joto. Na gharama ya matibabu niliyo itumia na kubwa ila tatizo haliishi. Kila la kheri mkuu !
 
cha kuongezea kajaribu kucheki labda ni allergic condition kuna ndugu yangu aliugua fangasi za sehemu za siri takriban miaka 5 kumbe alikuwa na allerg ya nyama na samaki wa maji chumvi
 
cha kuongezea kajaribu kucheki labda ni allergic condition kuna ndugu yangu aliugua fangasi za sehemu za siri takriban miaka 5 kumbe alikuwa na allerg ya nyama na samaki wa maji chumvi
% Kweli ni jambo la maana kama nitaenda kumwona daktari kwa mara nyingine ili nichek kama ni allerg na inasababishwa na nn.
Shukran ndugu kwa ushauri wako !
 
Mkuu nimekuwa nIkijichua kwa kipindi kirefu na adhari taYari naziona kwani ktk siku za karibuni nguvu ktk tendo la ndoa mpaka nilazimishe sana, nifanyeje kurudisha nguvu kama awali msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, kuna wakati huwa nakuwa na maumivu makali kwenye misuli ndani ya korodani. Inaweza ikawa kushoto au kulia ila muda mwingi ni kulia. Pia nakojoa mara kwa mara. Nimefanya sana ultra sound za korodani na kupima mkojo ila hawaoni matatizo.

Una suggestions zozote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je hepatitis b ni miongoni mwa magonjwa ya zinaa??? Kama mtu anao na kisha maliza dozi ya miezi sita hospital unamshauri nini???
Shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dr naomba kuuliza kwa kuongezea hili swali.niwakati gani mgonjwa anatakiwa aanzishiwe dawa ya truvada au tle kutibu hepatitis...na hiyo dawa anatumia kwa muda gani...mpaka apone kabisa
 
Papa Mobimba nakukumbusha tu kuwa kuna wadau walijitokeza kuuliza maswali ila hayajajibiwa bado.
Nakuamini sana kwenye taaluma yako.
Pitia huku please.
 
Big no UTI ni urinary tract infection inaafect sana system yote ya mkojo although ina weza ambukizwa through sex kama STDs zilivo.
Sasa kama UTI inaweza kuambukizwa kwa njia ya ngono kwanini isiwe kwenye kundi la STDs? (lengo ni kujifunza mkuu)
cc Papa Mobimba
 
Kupata UTI kupitia sex intercourse haimanishi ni ugonjwa wa zinaa bali ni mojawapo tu njia bacteria wanaitumia kutoka sehem moja kwenda nyengine....hivo yani.

So ugonjwa wa zinaa ni nini?
Naomba ueleze kwa falsafa yako, siyo kwamba siwezi kuingia google bali nataka kujifunza falsafa yako.
 
Papa Mobimba naomba ufafanuzi possibilities ni zipi ninachoumwa. Shingo ya uume ilikuwa inaniwashawasha mpaka nikapata kidonda kilichotokana na kijipele fulani. Ni mwezi sasa kipele kimepona ila bado washawasha inaendelea.

Suggestions ni zipi nina mke ila tangu hali hii ni mwezi sasa nimemwacha bench mpaka nipate ufumbuzi zaidi kuna ugomvi namshutumu kuniletea ugonjwa wa zinaa.

Anybody anaruhusiwa kushauri positively and otherwise.
 
Ni kwel duniani wawili wawili! hilo sijui nalo ni gonjwa gani maana mimi shingoni mwa uume nawashwa kwa ndan. Kwa hyo ukipata dawa nikumbuke na mimi askar.
 
Anatokwa na usaha kwenye urinary track, alipima magonjwa ya zinaa yote hakuwa nayo. Tatizo ni nini?
 
Mtaalamu jamaa yangu kwenye ndani yamshipa wa damu kwenye uume una vinundu nundu kama punje za ulezi. Sio mishipa yote.
Je, huo ni ugonjwa gani? Unasababishwa na nn? Tiba yake ni ipi? Na madhara yake ni yapi?
 
Mwambie apunguze kuwa Chapudu
 
Mtaalamu jamaa yangu kwenye ndani yamshipa wa damu kwenye uume una vinundu nundu kama punje za ulezi. Sio mishipa yote.
Je, huo ni ugonjwa gani? Unasababishwa na nn? Tiba yake ni ipi? Na madhara yake ni yapi?
Mwambie ajitoe kuwa mwanachama wa CHAPUTA
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom