Niulize swali lolote kuhusu magonjwa ya zinaa

kuna ndugu yetu mmoja yeye amekuwa analalamikia kuwa anasikia maumivu ya kiuno mpaka mgongon juu na sasa kifua upande wa kushoto. na amekuwa anakojoa uchafu na kusikia maumivu kwenye kibofu. sasa tulishampeleka hospitalin sana kule wanadai anainfaction tu wanampa dawa za antibiotic bas anameza inapoa na kurud hiyo hali. hebu tushaur ashafanya vipimo vyote hakuna kitu zaid ya kuambiwa ana antibiotic
 
mkuu u.t.i/gono zitatuua naona siku izi zimekuja kwa kasi mpya naomba kuuliza zimetoka wapi. ni usafi umekuwa hafifu ama?
 
Amewahi kufanya kipimo kinaitwa cystoscopy?
 
mkuu u.t.i/gono zitatuua naona siku izi zimekuja kwa kasi mpya naomba kuuliza zimetoka wapi. ni usafi umekuwa hafifu ama?
Kuna kasi kubwa ya magonjwa hayo kuwa resistant na madawa mengi. Inawezekana hii ni sababu
 
Now days nakosa kabisa hamu ya kula inafika wakati naweza kulala bila ya kula hili litakuwa tatizo gani Doctor
 
Mkuu naomba unisaidie kwa haya machache;-
¤ Kila ninapo maliza kuoga huwa nawashwa mwili mzima, hiyo hali waga inachukuwa kama dakk 10 had 15, inaisha wakati mwingine hutokea na hali ya chafya kwa huo muda.

¤ Na ninatatizo katika sehem ya siri huwa natokwa na vimaji kidogo vinakuwa katika tundu la uume vinakuwa katika hali ya unyevu unyevu tu, na wakat wajoto nikiwa nimekaa kwa kuubana uume kwenye mapaja na hisi muwasho ndani ya kichwa cha uume mfano kama vle mdudu mdogo sana yupo mle nakuwashwa maeneo ya korodani, na nikifanya kitendo cha ngono na mwanamke hiyo hali huongezeka na kufikia kuloanisha nguo ya ndani na nikiendelea hutokwa na usaha na maumivu katika mrija wa katikati ya makalio huku mashavu ya uume yakivimba . Siku hizi huwa natumia mafuta ya habbat soda nafuu inapatikana ila siyo kupona maana nikiaha kutumia hayo mafuta hiyo hali ina rudi. Nimeenda mara kadhaa kupima na kupewa dawa flani hivi ila zikiisha hali inarudi tu.

¤ mwisho kabisa, mate kama ya makohozi hunitoka bila kikohozi ! !
 
Mkuu kwa hiyo case ya kwanza
1.unatumia sabuni ya aina moja kwenye kuoga au tofauti tofauti kama ni moja jaribu kubadili sabuni
2.kwamimi hiyo nahisi itakuwa ni ALLERGY jaribu kutumia CITRIZEN kidonge kimoja kwa siku tumia kwa siku 5 hadi 7

Kwa hiyo case ya pili
1.unampenzi mmoja au zaidi ya mmoja au mke
2.umewahi kupima GONORRHEA kama ndio je majibu yalikuwaje?
3.kama bado hujapima nenda hospitali haraka ukapime wewe na mwenzako
 
¤ Sabuni nilishabadili vya kutosha ila tatzo lipo pale pale.

¤ Nilikuwaga na wapenzi wawili ila baada ya hitilafu hii kutokea nilitemana nao wote,na nina miez 9 sijawa na mpenzi!

¤ GONORRHEA nilishapima mara mbili hawakuona chochote wakasema kuwa ni mchafuko wa mkojo tu !
 
Unaweza kupima tena kwa manufaa yako na huo muwasho baada ya kuoga tumia hivyo vidonge nilivyokuambia
 
Mkuu leo nimeona hali fulani sijaielewa kabisa,

Iko hivi asubuhi wakati nakojoa nimekojoa mkojo wa kawaida kabisa ile inafika mwsho umetoka mkojo fulani sijauelewa kwakwi ni kama chai ya maziwa. Sina maumivu yoyote hii hali iliwahi kunitokea huko nyuma nikienda kukojoa tena sioni.

Nimewaza sana labda UTI ila sasa sina maumivu wala dalili nyingine ya uti na sijafanya sex six months. Huwa inatokea sijaelewa shida nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
huenda ulisimamisha, na hii hupelekea manii kujaa kwenye njia ya mkojo, hivyo ukienda kukojoa zinatoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba unisaidie kwa haya machache;-
¤ Kila ninapo maliza kuoga huwa nawashwa mwili mzima, hiyo hali waga inachukuwa kama dakk 10 had 15, inaisha wakati mwingine hutokea na hali ya chafya kwa huo muda.

¤ Na ninatatizo katika sehem ya siri huwa natokwa na vimaji kidogo vinakuwa katika tundu la uume vinakuwa katika hali ya unyevu unyevu tu, na wakat wajoto nikiwa nimekaa kwa kuubana uume kwenye mapaja na hisi muwasho ndani ya kichwa cha uume mfano kama vle mdudu mdogo sana yupo mle nakuwashwa maeneo ya korodani, na nikifanya kitendo cha ngono na mwanamke hiyo hali huongezeka na kufikia kuloanisha nguo ya ndani na nikiendelea hutokwa na usaha na maumivu katika mrija wa katikati ya makalio huku mashavu ya uume yakivimba . Siku hizi huwa natumia mafuta ya habbat soda nafuu inapatikana ila siyo kupona maana nikiaha kutumia hayo mafuta hiyo hali ina rudi. Nimeenda mara kadhaa kupima na kupewa dawa flani hivi ila zikiisha hali inarudi tu.

¤ mwisho kabisa, mate kama ya makohozi hunitoka bila kikohozi ! !

Hama Sehemu za Joto Kali na Hamia Sehemu ya Baridi..

Mimi Nilikuwa na Tatizo Flani hivi la Muda mrefu na lilinicost hela nyingi tu hapo Dar, Lakini nilipohamia Katika Mkoa Flani hivi wenye mazingira ya Baridi muda wote basi nimejikutia nimepona hilo tatizo bila ya kutumia dawa yoyote
 
Naimba kuuliza kuhusu uhusiano wa mtua anaetumia ARV na virusi vyake vikawa(viral load 45) na CD4 850 na kusex nae bila kutumia condom vip uwezekano wa kukuambukiza HIV...nijibu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naimba kuuliza kuhusu uhusiano wa mtua anaetumia ARV na virusi vyake vikawa(viral load 45) na CD4 850 na kusex nae bila kutumia condom vip uwezekano wa kukuambukiza HIV...nijibu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi nikigundua tu mtu ana HIV + hata kwa condom sifanyi
ila ninacho kijua kwa kawaida binadamu huwa na CD4 kati ya 500 hadi 1500 ukikutwa na CD4 chini ya 200 itakuwa HIV+
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom