Niulize swali lolote kuhusu magonjwa ya zinaa

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
1,153
1,359
Ndugu zangu wa JF, natoa tena nafasi nyingine tuweze kuelimishana kuhusu magonjwa ya zinaa. Uliza swalili lolote kuhusu magonjwa ya zinaa mfano uume kutoa usaha, maumivu wakati wa kukojoa au wakati wa tendo. Nitakupa majibu ya maswali yako .
 
Ndio dawa gani hizi ...
Naomba kuwasilisha
images.jpeg
 
Ndugu zangu wa JF, natoa tena nafasi nyingine tuweze kuelimishana kuhusu magonjwa ya zinaa. Uliza swalili lolote kuhusu magonjwa ya zinaa mfano uume kutoa usaha, maumivu wakati wa kukojoa au wakati wa tendo. Nitakupa majibu ya maswali yako .
kama nikitumia KY jell alaf nikakutana na mwanamke mwenye maambukiz mfano Ukimwi kuna uwezekano wa kupata apo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu wa JF, natoa tena nafasi nyingine tuweze kuelimishana kuhusu magonjwa ya zinaa. Uliza swalili lolote kuhusu magonjwa ya zinaa mfano uume kutoa usaha, maumivu wakati wa kukojoa au wakati wa tendo. Nitakupa majibu ya maswali yako .
Mkuu leo nimeona hali fulani sijaielewa kabisa,

Iko hivi asubuhi wakati nakojoa nimekojoa mkojo wa kawaida kabisa ile inafika mwsho umetoka mkojo fulani sijauelewa kwakwi ni kama chai ya maziwa. Sina maumivu yoyote hii hali iliwahi kunitokea huko nyuma nikienda kukojoa tena sioni.

Nimewaza sana labda UTI ila sasa sina maumivu wala dalili nyingine ya uti na sijafanya sex six months. Huwa inatokea sijaelewa shida nini?

Nafikiri hayo ni manii, wakati mwingne ni kawaida kwa wanaume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom