Niulize swali lolote kuhusu magonjwa ya zinaa

Kuna rafiki yangu katoka kusex but siku ya pili akatokwa na vipele vidogo vidogo vyenye maji kwenye shina la uume,hakuna muwasho wowote,je hiyo yawezakuwa gonnorhea?
 
Dr.samahani kuna uwezekano mtuu akaambukizwa virus vya ukimwi hata akiingiza uume ukeni mara moja chap na kutoa kwa mwamamke mwenye virus vya ukimwi?? Tafadhar nsomba msaada
 
Natokewa na vipele mikononi,kwenye mapaja na makalioni vinawasha sana,nimecheki HIV test Negative, nini tatizo
 
Nafikiri hayo ni manii, wakati mwingne ni kawaida kwa wanaume
...Mkuu Papa, umesema watu wakuulize maswali utawajibu. Sasa ukiwaambia 'Nafikiri...' Katika swali LA tano tu INA maana huna uhakika was majibu yako Mkuu. Utaweza kuwasaidia kweli??
 
...Mkuu Papa, umesema watu wakuulize maswali utawajibu. Sasa ukiwaambia 'Nafikiri...' Katika swali LA tano tu INA maana huna uhakika was majibu yako Mkuu. Utaweza kuwasaidia kweli??
Unafahamu kwa nini madaktari huwa wanawambia wagonjwa kutoa specimen?
 
Kuna rafiki yangu katoka kusex but siku ya pili akatokwa na vipele vidogo vidogo vyenye maji kwenye shina la uume,hakuna muwasho wowote,je hiyo yawezakuwa gonnorhea?
Vipele inawezekana hiyo ni Herpes Simplex (Malengelenge)
 
Naomba kujua kipimo cha UKIMWI kinaweza kuonyesha positive kama mtu anamagonjwa mengine ya zinaa tofauti na ukimwi??
Ndugu zangu wa JF, natoa tena nafasi nyingine tuweze kuelimishana kuhusu magonjwa ya zinaa. Uliza swalili lolote kuhusu magonjwa ya zinaa mfano uume kutoa usaha, maumivu wakati wa kukojoa au wakati wa tendo. Nitakupa majibu ya maswali yako .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu namechi kesho nimepanga kwenda nakipimo cha ukimwi ni mpime huyu mwanamke mpya..nin cha kuzingatia mkuu naje mtu anaetumia ARV akipimwa virusi vitaonekana au havitaonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kupima akawa negative kumbe yuko kwenye kipindi cha mpito (window period)..take care.. ARV hazimalizi virusi vya UKIMWI.
 
Mkuu namechi kesho nimepanga kwenda nakipimo cha ukimwi ni mpime huyu mwanamke mpya..nin cha kuzingatia mkuu naje mtu anaetumia ARV akipimwa virusi vitaonekana au havitaonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapenda kujidanganya sana.Sasa unampima kisha ukimkuta nao hamnjunjani au mtanjunjana,utamwambia au hautomwambia?Enhe na usipomwambia kisha akakuuliza niaje ndio utamwambia kwamba umepata tumbo l kuhara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni nahtaji kufanya kipimo cha kujua afya yangu ya mwili mzima he ni kipimo gani cha HIV nkikitumia kitanipa majibu sahihi zaidi hata kama ntakuwa on the window period?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu wa JF, natoa tena nafasi nyingine tuweze kuelimishana kuhusu magonjwa ya zinaa. Uliza swalili lolote kuhusu magonjwa ya zinaa mfano uume kutoa usaha, maumivu wakati wa kukojoa au wakati wa tendo. Nitakupa majibu ya maswali yako .

Mkuu, magonjwa ya zinaa ni yepi hayo??.
 
Mkuu namechi kesho nimepanga kwenda nakipimo cha ukimwi ni mpime huyu mwanamke mpya..nin cha kuzingatia mkuu naje mtu anaetumia ARV akipimwa virusi vitaonekana au havitaonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
Vpi mkuu mechi ulifanikiwa?..

Kuna hii Loop inawamaliza watu wengi kupelekea kupata UKIMWI how? see this....

Ni hivi HIV Ukipima na zile Strips ukipata Negative it shouldn't be a guarantee fot you kuamini hayo matokeo uliyo pata why? Hawa Virus ni kitu cha ajabu sana.. why? see this..mtu alie pata maambukizi within 24 - 48hrs kwenye kipimo kitakupa Negativ (-Ve) kumbe tayari ushaliwa cha ajabu sasa utakua unaambukiza wengine pindi mkikutana kimwili ndo mana ukipima kituoni ukakuta -Negative wanakushauri afta 90 days urudi kupima tena.

Sasa we jichanganye kurely kwenye ivyo vistrip mnapimana geto mshavuana na nguo kumbe manz kaupata jana we leo uko nae ukigusa imoo...mwenzio ulie mpima na strip ukakuta Negative (-ve) after 18days - 90days kitu kinasoma thou kuna wengine wanachukua miaka kuonyesha dalili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom