Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

Mkuu ukiskip Tangazo youtube haulipwi.Lengo Ni uangalie tangazo.Unaweza ukawa Na views million 1 lakin walioangalia Tangazo ni 100,000 utalipwa kwa views100,000 nA sio 1,000,000.
 
Back
Top Bottom