Niulize swali lolote kuhusu kuingiza pesa kupitia YOUTUBE

Hapo
urbusinessmentor-20191201-0001.jpg

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Ahsante kwa hii thread. Mimi nina maswali yafuatayo;
1. Je hiyo pesa unalipwa kwa interval fan? Ni kila mwez au kila wiki?
2. Kila channel ya youtube lazima isajiliwe TCRA au zile za habari tu mfano millardayo?
3. Uluchukua muda gani mpaka ukafikisha 1k subscribers?

Mwisho
Naomba tupeane sub 4 sub pm coz nami ndio ninaanza mkuu. Pm me

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumekuwa na ongezeko kubwa la wasanii wa muziki na maigizo kutuhamasisha tusiache kusubscribe channel zao za YouTube. Katika tafiti zangu fupi nimegundua kuwa wanalipwa kwa kila views wanazopata.

Je utaratibu wa kisheria nchini chini ya TCRA mamlaka ya mawasiliano unajisajili vipi? Na huyo mlipaji anakulipaje kwa hizo views kuanzia Laki moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom